Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Siku hiyo kwa kitendo tu cha kufikishwa mahakamani nitakuwa na siku mzuri sana maishani.View attachment 2024674Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya kagera aitwaye Paul Makonda napandishwa kizimbani tarehe 3 december
Baba keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli ..je wasanii watakuwepo? wasafi je?babu tale?mkubwa fella?
Le mutuz mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee