Siku hiyo kwa kitendo tu cha kufikishwa mahakamani nitakuwa na siku mzuri sana maishani.View attachment 2024674Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya kagera aitwaye Paul Makonda napandishwa kizimbani tarehe 3 december
Baba keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli ..je wasanii watakuwepo? wasafi je?babu tale?mkubwa fella?
Le mutuz mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
Aburuzwe tu huyoNo comment
Yule ni sawa na mwanangu wa chekechea maana kila kitu anategemea kutoka kwa babakele mutuz is super Humbled you know !!! na sasa amekondaz Man coz alilazwa Hospitali Man !!! but wabebez walitililika maelfu na maelfu kwenda kumuona you know!!
Wewe endelea kuliamini uhuru na mzalendoSijui kwanini hili gazeti uwa siliamini amini
Amelaaniwa tayariOle wake amtumainie. MWanadamu...Bashite hataamini kuwa enzi zile..alikua kama small goddess!!sasa watamnyea kisawasawa!!
KwiiishaaaaaaaTulikua naye siku zote za mapambano mwenzetu, ndugu yetu bashite
Huyo babake bado yupo na haoni aibu kupiga magoti kwa wakubwa ili yaisheOhoooo !! Tabu ni kwamba atashitakiwa pamoja na wapambe wake ( chawa ) , Je Le Mutuz Nation atakosekana ?
Hata mia 500Huyu afungwe hata miaka 100
Alafu huyo Bashite hanaga chembe ya aibuMh.waziri mkuu Hawa wafanyabiashara was shisha wanasema wanakuhonga ili biashara yao iendelee bila tabu-Konda boy
Malezi duni.
Sipati picha watau watakavyo mgombaniaBashiteeeeee... Ahuzunikaaaaaa....
3 desemba sio mbali.Wewe endelea kuliamini uhuru na mzalendo
Kawaumiza wengi tuNiliacha kununua magazeti kitambo ila hili kesho naenda nunua.. na kama kweli i'll stand with mama personally not nyinyiemu huyu jamaa kuna sehemu kupitia anko wangu kanigusa
Mungu ni mkubwa atasimamia show kama siku zote3 desemba sio mbali.
Tuombe uzima tu
Thank you Bro,Anashtakiwa kwa minajili ipi? Mkimaliza mumfungulie na yule aliyebariki Richmond na Dowanzi
wabongo masnitch sana😅,,, yani rugemalila na singa singa watolewe aingizwe makonda jela?Thank you Bro,
Yaan kuna Mifisadi Papa iliharibu nchi yetu yanapeta hadi leo na mingine bado ipo Bungeni yanakula Kodi tu,
Makonda afunguliwe kesi eti kwa Matumizi mabaya ya Madaraka, are we serious!!?
We have a long way to go Watanzania.
Huyo baba na mama mzazi mbona hawamjui Paul Makonda kwenye familia yao, hawamhusu. Mama mzazi aliwahi kusema kwenye runinga wanaona picha ya mtoto wao lakini jina si la mtoto wao! Mtoto wao akasema anaitwa Daudi Bashite, sasa atakayefikishwa mahakamani ni nani kati ya hawa wawili?View attachment 2024674Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya kagera aitwaye Paul Makonda napandishwa kizimbani tarehe 3 december
Baba keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli ..je wasanii watakuwepo? wasafi je?babu tale?mkubwa fella?
Le mutuz mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].ili?Akatwe miguu kwanza ndo apelekwe mahakamani