Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

Fake. Chadema mnahangaika sana. Kwenye hiyo hati ya mashtaka jina la makonda liko wapi?
 
Watanzania ni kama wamedungwa sindano ya usingizi ivi siku wakizinduka jahazi lishazama tayari

Inawezekanaje kikombe kusafishwa nje ili hari ndani ni kichafu?

Hivi Katiba inawalenga viongozi wa ngazi za chini pekee acheni kuwaonea dagaa

Tunataka kuona mki deal na mapapa

Kama vile rais na makamu wake,waziri mkuu na viongozi wa juu sio kila siku mkuu wa mkoa mkuu wa wilaya

TUMECHOKA
#katiba mpya
 
Mara chache niliwahi kukutana na kufanikiwa kuongea na Makonda enzi akiwa mtu mwenye raha kuliko wote duniani.

Nilijaribu wakati fulani kujenga hoja kwa kuzunguka kidogo. Nilimuuliza, mkuu unapotupigisha kwata kisawasawa sisi wakazi wako hali itakuwaje siku umestaafu. Akanijibu "MPAKA SASA NAJUA SIAJIRIKI TENA NIKITOKA KATIKA HIKI CHEO" haya maneno aliyasema pale Anatoglo mwaka 2018. Hivyo kwenye maongezi haya nayarelate na hiki kinachoenda kumsibu napata picha fulani kwamba kuna mahala alikuwa na makusudi ya kuumiza watu ilimradi apate sifa.

Natanguliza pole kwake.
Madaraka matamu sana, lakini trade careful
 
Ohoooo !! Tabu ni kwamba atashitakiwa pamoja na wapambe wake ( chawa ) , Je Le Mutuz Nation atakosekana ?
Hili gazeti huwa natend kutoliamini...to be sincere its credibility is put to question on my side
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…