Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
DPP anamfungulia mtu kesi kwa kuchambua upelelezi wa polisi, maelezo aliyotoa mtuhumiwa na exhibits alizokutwa nazo. Usione uvivu, soma vizuri taarifa ya DPP. Speculations za JF hazina nafasi.Ni maelezo ya Kubenea aliyotoa polisi au ni maneno ambayo DPP anadai ni matokeo ya uchunguzi wao?
Ni mashtaka dhaifu eeeh!!nenda ukamtetee MahakamaniKesi dhaifu sana hii, hizi ndio kesi za kuwapa ujiko mawakili
Nitashangaa sana kama wengi hamuoni udhaifu wa mashtaka haya.
Genta hivi una fununu kuhusu swala mdogo wake ROSTAM aliyeshikwa na pembe za ndovu na magobole yupo wapi??Kama Wahusika wameamua kuwa na Umakini huu basi usiwe unaishia tu kwa Wanasiasa tena wa Upinzani kwani unafanywa na wengine wengi tu.
Maelezo aliyotoa Kubenea yameshawekwa hapo juu, kwamba alitoka Dar hadi Arusha, kuna siku aliishi hotelini, na siku nyingine aliishi kwa kaka yake. Siku iliyofuata akaenda Namanga kupokea fedha husika... hayo ndo maelezo ya Kubenea!!!!DPP anamfungulia mtu kesi kwa kuchambua upelelezi wa polisi, maelezo aliyotoa mtuhumiwa na exhibits alizokutwa nazo. Speculations za JF hazina nafasi.
Ndiyo sababu ya kupelekwa akajitete mahakamani sababu yanapingana na Upelelezi wa Polisi na ushahidi aliokutwa nao. Nimekutajia mambo matatu wewe umeangalia moja tu😂Maelezo aliyotoa Kubenea yameshawekwa hapo juu, kwamba alitoka Dar hadi Arusha, kuna siku aliishi hotelini, na siku nyingine aliishi kwa kaka yake. Siku iliyofuata akaenda Namanga kupokea fedha husika... hayo ndo maelezo ya Kubenea!!!!
Huyu komu,sumaye na mwambe walikuwa kundi moja Malipo ya usaliti hayo Mungu anadhihirisha uwezo wake,halafu halafu hakuwahi kuhudhuria kesi ya viongozi wa ChademaHivi kubenea nae alitusaliti?
Hii kauli tumesoma shule moja nini[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hii ndio ile walimu walikuwa wanatutishia enzi zile za Mwalimu kwa kutwambia "I will deal with you perpendicularly".
Fedha haina kidogo. Elewa kiinua mgongo ukiwa na mikopo kadhaa haitoshi unatafuta tena. Shida haziishiKubenea kapokea kiinua mgongo zaidi ya TZS 200 million, kufanya money laundering ya TZS 28 million haijaeleweka
We si umesema Kubenea mwenyewe ndo katoa maelezo?! Nami ndipo nimekukumbusha maelezo ya Kubenea ambayo sio hayo aliyosema DPP!Ndiyo sababu ya kupelekwa akajitete mahakamani sababu yanapingana na Upelelezi wa Polisi na ushahidi aliokutwa nao. Nimekutajia mambo matatu wewe umeangalia moja tu😂
Anavunja Sheria kwa koti la Upinzani
Akilalamika eti wananyanyaswa.
Sasa kisa cha kutumia njia za panya kuingia Kenya na kutoka nini
Isijekuwa anafanya Mambo ya Ugaidi hapa.
Wewe sio Kubenea kwa nini u assume? kwanini assumption zako ziwe sababu ya kuonyesha DPP amekosea kumpeleka mahakamani? Ndio maana nikaeleza maelezo ya Kubenea polisi sio hizo assumption zako tusubiri huo utetezi wake.We si umesema Kubenea mwenyewe ndo katoa maelezo?! Nami ndipo nimekukumbusha maelezo ya Kubenea ambayo sio hayo aliyosema DPP!
And YES, finally wanaenda mahakamani ambako wangeenda tu iwe maelezo yao yanafanana au hayafanani! Sasa huko mahakamani, assume Kubenea anatoa utetezi uleee... ambao niliusema mwanzoni kwamba "tiketi ya basi, risiti ya hotel, and all that was all about tricking his partners ili achikichie hiyo pesa kama ambavyo Wafanyakazi wamekuwa wakifanya miaka nenda rudi lakini hakuvuka mpaka to/from Kenya!"
And remember, Kubenea amekamatwa kwenye gari upande wa Tz na sio amekatamatwa akivuka mpaka! That being said, Uhamiaji ndio wathibitishe kwamba alivuka mpaka ndivyo sivyo!
Kutokuwepo taarifa zake custom haitoshi kuwa ushahidi kwamba alivuka mpaka, kinyume chake ni ushahidi tosha kwamba hakwenda na kutoka Kenya kwa muda tajwa!
Mtu mwingine atakayefanyiwa mchezo mchafu kama walivyomfanyia Said Kubenea ni @IamJongwe__ Joseph Mbilinyi (Sugu) . Yasemekana TISS walikwisha mpa mzigo ili ahamie CCM lakini hakuhama. Chukueni tahadhari mapema. @ChademaTz Kigogo2014.
Kushikwa kwa kubenea ni pigo kubwa kwa Lisu
Kwani hapo kimbiji ulipo unaweza kukamatwa kwa kuvuka Msumbiji bila utaratibu?so ultaka akamatiwe wapi?
ultaka wamfate hukohuko kenya?
Sheria ya wapi iyoo kwamba ukifanya kosa mwezi jana leo unajihesabu free?Kwani hapo kimbiji ulipo unaweza kukamatwa kwa kuvuka Msumbiji bila utaratibu?
Sjakuelewa unasimamia wapi?Kama alivuka mpaka kwa njia zisizo rasmi basi haitii shaka yoyote kwamba pasi yake ya kusafiria haikugongwa mhuri wa kuingia kule Kenya.
Hivyo hiyo inajenga hoja kwamba makachero walikuwa wadeal nae "perpendicularly".
Kama umesoma maelezo sehemu ya pili ya madai ya DPP ni kwamba:
"Mtuhumiwa tajwa alivuka mpaka usio rasmi na kuelekea Nairobi nchini Kenya na kisha kurejea nchini Tanzania bila kutumia mpaka rasmi mnamo tarehe 5/9/2020"
Nnavyofahamu mimi ni kwamba kama mtu anafuatliwa, nchi jirani inapewa taarifa ya kusudio la kukamata halafu wao wanamkamata mhusika kwa niaba.
Mkienda kule mnakabidhiwa mtu wenu.
Huo ndo utaratibu wa kawaida kabisa.
Tunasoma taarifa hizi mitandaoni hatuna uhakika.
Inawezekana wamemkamata kwenye vichochoro vya karibu na mpakani Namanga.
Hujaelewa kituHapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?
Hivi huko CCM huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?