We si umesema Kubenea mwenyewe ndo katoa maelezo?! Nami ndipo nimekukumbusha maelezo ya Kubenea ambayo sio hayo aliyosema DPP!
And YES, finally wanaenda mahakamani ambako wangeenda tu iwe maelezo yao yanafanana au hayafanani! Sasa huko mahakamani, assume Kubenea anatoa utetezi uleee... ambao niliusema mwanzoni kwamba "tiketi ya basi, risiti ya hotel, and all that was all about tricking his partners ili achikichie hiyo pesa kama ambavyo Wafanyakazi wamekuwa wakifanya miaka nenda rudi lakini hakuvuka mpaka to/from Kenya!"
And remember, Kubenea amekamatwa kwenye gari upande wa Tz na sio amekatamatwa akivuka mpaka! That being said, Uhamiaji ndio wathibitishe kwamba alivuka mpaka ndivyo sivyo!
Kutokuwepo taarifa zake custom haitoshi kuwa ushahidi kwamba alivuka mpaka, kinyume chake ni ushahidi tosha kwamba hakwenda na kutoka Kenya kwa muda tajwa!