Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Ni maelezo ya Kubenea aliyotoa polisi au ni maneno ambayo DPP anadai ni matokeo ya uchunguzi wao?
DPP anamfungulia mtu kesi kwa kuchambua upelelezi wa polisi, maelezo aliyotoa mtuhumiwa na exhibits alizokutwa nazo. Usione uvivu, soma vizuri taarifa ya DPP. Speculations za JF hazina nafasi.
 
Kama Wahusika wameamua kuwa na Umakini huu basi usiwe unaishia tu kwa Wanasiasa tena wa Upinzani kwani unafanywa na wengine wengi tu.
Genta hivi una fununu kuhusu swala mdogo wake ROSTAM aliyeshikwa na pembe za ndovu na magobole yupo wapi??
 
DPP anamfungulia mtu kesi kwa kuchambua upelelezi wa polisi, maelezo aliyotoa mtuhumiwa na exhibits alizokutwa nazo. Speculations za JF hazina nafasi.
Maelezo aliyotoa Kubenea yameshawekwa hapo juu, kwamba alitoka Dar hadi Arusha, kuna siku aliishi hotelini, na siku nyingine aliishi kwa kaka yake. Siku iliyofuata akaenda Namanga kupokea fedha husika... hayo ndo maelezo ya Kubenea!!!!
 
Ndiyo sababu ya kupelekwa akajitete mahakamani sababu yanapingana na Upelelezi wa Polisi na ushahidi aliokutwa nao. Nimekutajia mambo matatu wewe umeangalia moja tu😂
 
Hivi kubenea nae alitusaliti?
Huyu komu,sumaye na mwambe walikuwa kundi moja Malipo ya usaliti hayo Mungu anadhihirisha uwezo wake,halafu halafu hakuwahi kuhudhuria kesi ya viongozi wa Chadema
 
Ndiyo sababu ya kupelekwa akajitete mahakamani sababu yanapingana na Upelelezi wa Polisi na ushahidi aliokutwa nao. Nimekutajia mambo matatu wewe umeangalia moja tu😂
We si umesema Kubenea mwenyewe ndo katoa maelezo?! Nami ndipo nimekukumbusha maelezo ya Kubenea ambayo sio hayo aliyosema DPP!

And YES, finally wanaenda mahakamani ambako wangeenda tu iwe maelezo yao yanafanana au hayafanani! Sasa huko mahakamani, assume Kubenea anatoa utetezi uleee... ambao niliusema mwanzoni kwamba "tiketi ya basi, risiti ya hotel, and all that was all about tricking his partners ili achikichie hiyo pesa kama ambavyo Wafanyakazi wamekuwa wakifanya miaka nenda rudi lakini hakuvuka mpaka to/from Kenya!"

And remember, Kubenea amekamatwa kwenye gari upande wa Tz na sio amekatamatwa akivuka mpaka! That being said, Uhamiaji ndio wathibitishe kwamba alivuka mpaka ndivyo sivyo!

Kutokuwepo taarifa zake custom haitoshi kuwa ushahidi kwamba alivuka mpaka, kinyume chake ni ushahidi tosha kwamba hakwenda na kutoka Kenya kwa muda tajwa!
 
Anafanya ugaidi kwa sababu anaitwa Saidi???
Anavunja Sheria kwa koti la Upinzani

Akilalamika eti wananyanyaswa.

Sasa kisa cha kutumia njia za panya kuingia Kenya na kutoka nini

Isijekuwa anafanya Mambo ya Ugaidi hapa.
 
We si umesema Kubenea mwenyewe ndo katoa maelezo?! Nami ndipo nimekukumbusha maelezo ya Kubenea ambayo sio hayo aliyosema DPP!

And YES, finally wanaenda mahakamani ambako wangeenda tu iwe maelezo yao yanafanana au hayafanani! Sasa huko mahakamani, assume Kubenea anatoa utetezi uleee... ambao niliusema mwanzoni kwamba "tiketi ya basi, risiti ya hotel, and all that was all about tricking his partners ili achikichie hiyo pesa kama ambavyo Wafanyakazi wamekuwa wakifanya miaka nenda rudi lakini hakuvuka mpaka to/from Kenya!"

And remember, Kubenea amekamatwa kwenye gari upande wa Tz na sio amekatamatwa akivuka mpaka! That being said, Uhamiaji ndio wathibitishe kwamba alivuka mpaka ndivyo sivyo!

Kutokuwepo taarifa zake custom haitoshi kuwa ushahidi kwamba alivuka mpaka, kinyume chake ni ushahidi tosha kwamba hakwenda na kutoka Kenya kwa muda tajwa!
Wewe sio Kubenea kwa nini u assume? kwanini assumption zako ziwe sababu ya kuonyesha DPP amekosea kumpeleka mahakamani? Ndio maana nikaeleza maelezo ya Kubenea polisi sio hizo assumption zako tusubiri huo utetezi wake.
 
Mtu mwingine atakayefanyiwa mchezo mchafu kama walivyomfanyia Said Kubenea ni @IamJongwe__ Joseph Mbilinyi (Sugu) . Yasemekana TISS walikwisha mpa mzigo ili ahamie CCM lakini hakuhama. Chukueni tahadhari mapema. @ChademaTz Kigogo2014.

Kwamba TISS ndo wanafanya udalali!! Tafadhali mlamu.
 
ultaka wamfate hukohuko kenya?

Kama alivuka mpaka kwa njia zisizo rasmi basi haitii shaka yoyote kwamba pasi yake ya kusafiria haikugongwa mhuri wa kuingia kule Kenya.

Hivyo hiyo inajenga hoja kwamba makachero walikuwa wadeal nae "perpendicularly".

Kama umesoma maelezo sehemu ya pili ya madai ya DPP ni kwamba:

"Mtuhumiwa tajwa alivuka mpaka usio rasmi na kuelekea Nairobi nchini Kenya na kisha kurejea nchini Tanzania bila kutumia mpaka rasmi mnamo tarehe 5/9/2020"

Nnavyofahamu mimi ni kwamba kama mtu anafuatliwa, nchi jirani inapewa taarifa ya kusudio la kukamata halafu wao wanamkamata mhusika kwa niaba.

Mkienda kule mnakabidhiwa mtu wenu.

Huo ndo utaratibu wa kawaida kabisa.

Tunasoma taarifa hizi mitandaoni hatuna uhakika.

Inawezekana wamemkamata kwenye vichochoro vya karibu na mpakani Namanga.
 
Huyo wampige tu money laundering ndo ajifunze usaliti ni laana
 
Ccm Walimpa pesa za kuunga juhudi kitambo ila kasuasua sn na baadaye kawapiga chenga kakimbilia act.....

Sasa wamekua wakimfuatilia nyendo zake ndio maana kadakwa.... 😀😀
 
Kwani hapo kimbiji ulipo unaweza kukamatwa kwa kuvuka Msumbiji bila utaratibu?
Sheria ya wapi iyoo kwamba ukifanya kosa mwezi jana leo unajihesabu free?

broo usi quot tena samahani!!
 
Kama alivuka mpaka kwa njia zisizo rasmi basi haitii shaka yoyote kwamba pasi yake ya kusafiria haikugongwa mhuri wa kuingia kule Kenya.

Hivyo hiyo inajenga hoja kwamba makachero walikuwa wadeal nae "perpendicularly".

Kama umesoma maelezo sehemu ya pili ya madai ya DPP ni kwamba:

"Mtuhumiwa tajwa alivuka mpaka usio rasmi na kuelekea Nairobi nchini Kenya na kisha kurejea nchini Tanzania bila kutumia mpaka rasmi mnamo tarehe 5/9/2020"

Nnavyofahamu mimi ni kwamba kama mtu anafuatliwa, nchi jirani inapewa taarifa ya kusudio la kukamata halafu wao wanamkamata mhusika kwa niaba.

Mkienda kule mnakabidhiwa mtu wenu.

Huo ndo utaratibu wa kawaida kabisa.

Tunasoma taarifa hizi mitandaoni hatuna uhakika.

Inawezekana wamemkamata kwenye vichochoro vya karibu na mpakani Namanga.
Sjakuelewa unasimamia wapi?

Mind you hakuna kesi ndogo..kesi inakua ndogo ikiisha
 
Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?

Hivi huko CCM huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Hujaelewa kitu
 
Back
Top Bottom