Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Hajaonewa, tatizo ni mchoyo na mbinafsi.

Watu kama Kubenea hapendi hata kuona kuna kijana ana millioni mfukoni

Vitu kama hivyo unawatuma tu vijana wako kwenda kukuchukulia pesa sehemu.

Tuache uchoyo matokeo yake ndio haya.
Hao vijana kuna mambo hawawezi kuongea na wakenya ambao nyuma yupo mzungu ili kuhujumu taifa

Mambo mazito lazima ahudhurie mwenyewe
 
Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?

Hivi huko CCM huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Mkuu mtake radhi
Yye ni nani mpaka a decler kubenea ni mhalifu
Every person is innocent until contrary is proved
Acha personal ego
 
Nina wasiwasi, amount ya pesa on him ni kidogo sana kuwarrant an arrest,
Kuingia na kutoka njia ya panya, kunataka red handed caughting, au ushahidi wa video footage
Kumbuka wanaweza pia fwatilia electronics movement
ie his cell phone ilisoma wapi on the material time and date
 
..Na fedha walizomkuta nazo?

..wanaweza vipi ku-prove kwamba alitoka nazo Kenya?
Yye ndio mtuhumiwa mkuu anatakiwa athibitishe pasi na shaka kwamba hizo pesa hakuzipata Kenya
Ila kuna kitu kitaalam kinaitwa res gestae kinaweza mmaliza
Pindi wakifwatilia electronic movement za device yake kama simu ya kiganjani
 
Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?

Hivi huko CCM huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Mkuu hao ndio mawakili wetu, ndizo akili zetu, ndizo akili za viongozi wetu!!! Haki ikitendeka hakuna kesi hapo bali upuuzi mtupu!!

..Na fedha walizomkuta nazo?

..wanaweza vipi ku-prove kwamba alitoka nazo Kenya?
Hapo ndipo unajiuliza maswali hupati jibu!!
 
Yye ndio mtuhumiwa mkuu anatakiwa athibitishe pasi na shaka kwamba hizo pesa hakuzipata Kenya
Ila kuna kitu kitaalam kinaitwa res gestae kinaweza mmaliza
Pindi wakifwatilia electronic movement za device yake kama simu ya kiganjani

..nilidhani alitakiwa aletwe shahidi toka Kenya atakayesema alimpa fedha Kubenea.

..au kuwepo na ushahidi toka benki ya Kenya wa Kubenea ku-draw fedha toka huko.

..hilo unalielezeaje?
 
Kumbuka wanaweza pia fwatilia electronics movement
ie his cell phone ilisoma wapi on the material time and date

..mitambo na rekodi za "electronic movement" haziwezi kuwa-tampered with?

..inatakiwa awepo mtu anayeweza kuthibitisha kwamba alimuona Kubenea akiwa Nairobi.
 
Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?

Hivi huko CCM huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Yaan hakufuata utaratibu maalumu kuvuka border kihalali kutoka tz kwenda Kenya na kutoka Kenya kuja tz

Wewe ndio huna akil ya kuto kujua kipi kilicho zungumzwa hapo

Uruhusiwi kutoka Wala kuingia tz hata Kama mtz bila kufuata sheria za uhamiaji vingnevyo uwe na magendo upite panya road
 
Sasa nyumba yako ina mlango wa kuingilia, wewe unarudi usiku saa sita unachupa ukuta, umeingia kihalali apo? Au hukufunzwa adabu kwenu?

Halafu kajifunze kitu:

Criminalization of Illegal Entry Around the World
Mwambie jirani akikupiga risasi hapati murder case maana ana kisingizio ulikua mwizi. Mtu huwezi kupitia dirishani kuingia nyumbani kwako. Jamaa anamtukana Mwanasheria kisa kampa pole Kubenea. Kuna wajinga wengi sana hapa
 
Back
Top Bottom