T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Huyo ni public figure we mbuziNaomba kuuliza. Hivi kwa kila mashitaka ambayo 'dipipii' anaidhinisha huwa anatoa taarifa kwa vyombo vya habari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni public figure we mbuziNaomba kuuliza. Hivi kwa kila mashitaka ambayo 'dipipii' anaidhinisha huwa anatoa taarifa kwa vyombo vya habari?
Hao vijana kuna mambo hawawezi kuongea na wakenya ambao nyuma yupo mzungu ili kuhujumu taifaHajaonewa, tatizo ni mchoyo na mbinafsi.
Watu kama Kubenea hapendi hata kuona kuna kijana ana millioni mfukoni
Vitu kama hivyo unawatuma tu vijana wako kwenda kukuchukulia pesa sehemu.
Tuache uchoyo matokeo yake ndio haya.
Mkuu mtake radhiHapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?
Hivi huko CCM huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Ungeweza tu kujibu bila kuongeza tusi!Huyo ni public figure we mbuzi
Kumbuka wanaweza pia fwatilia electronics movementNina wasiwasi, amount ya pesa on him ni kidogo sana kuwarrant an arrest,
Kuingia na kutoka njia ya panya, kunataka red handed caughting, au ushahidi wa video footage
Mkuu hiyo si charge sheetKama Mkurugenzi wa Mashitaka anaandaa mashitaka yenye 'matobo'('loop-holes') hivi basi tuna safari ndefu..
Ndo maana nikashangaa huyu kubenea,Kumbuka wanaweza pia fwatilia electronics movement
ie his cell phone ilisoma wapi on the material time and date
Kumbuka wanaweza pia fwatilia electronics movement
ie his cell phone ilisoma wapi on the material time and date
Yye ndio mtuhumiwa mkuu anatakiwa athibitishe pasi na shaka kwamba hizo pesa hakuzipata Kenya..Na fedha walizomkuta nazo?
..wanaweza vipi ku-prove kwamba alitoka nazo Kenya?
Mkuu hao ndio mawakili wetu, ndizo akili zetu, ndizo akili za viongozi wetu!!! Haki ikitendeka hakuna kesi hapo bali upuuzi mtupu!!Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?
Hivi huko CCM huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Hapo ndipo unajiuliza maswali hupati jibu!!..Na fedha walizomkuta nazo?
..wanaweza vipi ku-prove kwamba alitoka nazo Kenya?
Yye ndio mtuhumiwa mkuu anatakiwa athibitishe pasi na shaka kwamba hizo pesa hakuzipata Kenya
Ila kuna kitu kitaalam kinaitwa res gestae kinaweza mmaliza
Pindi wakifwatilia electronic movement za device yake kama simu ya kiganjani
Yeye na rafikie mbatiaKubenea ndo mwisho wa safari yake ya ubunge?
Kumbuka wanaweza pia fwatilia electronics movement
ie his cell phone ilisoma wapi on the material time and date
Na ushahidi pekee ni passport ya Kubenea...mitambo na rekodi za "electronic movement" haziwezi kuwa-tampered with?
..inatakiwa awepo mtu anayeweza kuthibitisha kwamba alimuona Kubenea akiwa Nairobi.
Yaan hakufuata utaratibu maalumu kuvuka border kihalali kutoka tz kwenda Kenya na kutoka Kenya kuja tzHapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?
Hivi huko CCM huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Hii ndio ile walimu walikuwa wanatutishia enzi zile za Mwalimu kwa kutwambia "I will deal with you perpendicularly".
Mwambie jirani akikupiga risasi hapati murder case maana ana kisingizio ulikua mwizi. Mtu huwezi kupitia dirishani kuingia nyumbani kwako. Jamaa anamtukana Mwanasheria kisa kampa pole Kubenea. Kuna wajinga wengi sana hapaSasa nyumba yako ina mlango wa kuingilia, wewe unarudi usiku saa sita unachupa ukuta, umeingia kihalali apo? Au hukufunzwa adabu kwenu?
Halafu kajifunze kitu:
Criminalization of Illegal Entry Around the World
Wanakimbilia ku comment bila kusoma habarirudia kusoma hiyo barua
Umeisoma habari ama umeishia kwenye kichwa cha habari tu?Politics at its worst.
Inawezekanaje mtu umkamatie Tanzania halafu useme kaingia Tanzania kinyume cha sheria ?
Watu wamechanganyikiwa na maisha Msukuma kafanya watu wadate bila kuvuta mihadarati. Wewe umempa pole Kubenea halafu unashambuliwa fani yakoMkuu nenda taratibu. Mimi nahusikaje na suala hili na CCM? Hebu punguza mihemko isiyo na maana