Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Yeah, wameufuta nafanya nao mawasiliano kujua shida ni nini na kipi kinatakiwa kufanyika ili kuurudisha uzi.
All shall be well.
Labda waliogopa yaleee ya KUKU FARM, ilianzua humu hawakujua ingekuwa utapeli, hivyo kwa hili wamechukua tahadhari.

If you wanted to give back to JF talk to JF management directly they will advise you a proper way of doing it.

Money laundering ina sura nyingi, jaribu kuwasiliana nao wakupe njia sahihi mkuu.
 
Wakuu nina maswali ningependa sana Mkurugenzi wa Mashitaka ayajibu. Moderators naomba msichanganye huu uzi na mwingine, kwa kuwa hapa najaribu kudadisi uwezo wa Watendaji wetu wa kufanya kazi kwa uelewevu wa sheria badala ya kukurupuka kutafuta kiki za midia.

Ukienda Tovuti ya Dar es Salaam Airport utakutana na kanuni hizi zinazohusu kuingiza fedha za kigeni nchini;;

Dar es Salaam airport : rules and customs formalities

1599649754825.png


Je, kutokana na kanuni hizi, kuna tatizo Kubenea kukutwa na USD 8000? (Naelewa kwamba kiwango cha juu cha ku-declare ni ikiwa una zaidi ya USD 10,000)

Pili, Kubenea amekamatwa akiwa Tanzania, na yeye ni Mtanzania. Ni vipi Mkurugenzi wa Mashitaka anamfungulia mashitaka Kubenea kwa kuwa nchini mwake? Na je, kuwa na risiti na hoteli nchini Kenya ni utibitisho tosha kwamba alikuwa Kenya?

Mkurugenzi wa Mashitaka Tanzania ameamua kujiajiri na kufanya kazi ya Mkurugenzi wa Mashitaka Kenya?

Hivi kwa mfano, nikienda Kenya, nikagundua kuna watu wananifuatilia kutaka kuniua, nikatoroka kurudi nyumbani Tanzania bila kupitia mpakani rasmi, nikifika Tanzania nitafunguliwa mashitaka?

Kwa hiyo basi, Mkurugenzi wa Mashitaka amekurupuka kumfungulia Kubenea mashitaka kwa lengo la kupata kiki ya media na CCM dhidi ya mpinzani?
 
Wakuu nina maswali ningependa sana Mkurugenzi wa Mashitaka ayajibu. Moderators naomba msichanganye huu uzi na mwingine, kwa kuwa hapa najaribu kudadisi uwezo wa Watendaji wetu wa kufanya kazi kwa uelewevu wa sheria badala ya kukurupuka kutafuta kiki za midia...
Wewe unajua sheria kumzidi DPP?!
 
Wakuu nina maswali ningependa sana Mkurugenzi wa Mashitaka ayajibu. Moderators naomba msichanganye huu uzi na mwingine, kwa kuwa hapa najaribu kudadisi uwezo wa Watendaji wetu wa kufanya kazi kwa uelewevu wa sheria badala ya kukurupuka kutafuta kiki za midia...
Tunashukuru umekuwa Judge na prosecuter na shahidi,
 
Ulikuwa bado mdogo muulize yaliyompata!
Watu wanamaliza chuo wakiwa madogo? Nilikuwepo tangu Ccm wanaulza nyumba za serikali kwa mahawala zao? Na huyu anayeitwa mtakatifu fake leo aliuza alipo ripotiwa na wandIshi wa RAI akakimbilia polisi mabatini! Ati leo nae ana uchungu na Tanzania maajabu haya jamani?
 
Back
Top Bottom