Safari hii viongozi wa Simba wametu win mashabiki.

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Mara baada ya mchezo, viongozi wa Simba wakakimbilia mitandaoni kutuhadaa kwa kumtupia lawama goal keeper na Mwamuzi wa mchezo.

Wamesahau kuwa yanga jana walituongoza kwa kila kitu kuanzia Possession hadi idadi ya nafasi zilizo tengenezwa kwani walicreate clear chance 4 za magoli ni uzembe wao tu. Sisi tumecreate clear chance 1 tu Ateba akakosa kwa bahati mbaya.

Tukija kwenye penat nikweli tulinyimwa penat 1 sio mbili, lakini tukumbuke kuna mchezaji wetu alistahili red card lakini akapewa njano.

Kwakifupi mimi michezo 4 ya mwisho imefanya niamini kuwa hatuna timu. Rejea mechi ya Dodoma jiji tulizawadiwa penat, mechi ya Coastal ilukuwa tufe, mechi ya Azam hata sijui tulishindaje.

Timu haina wachezaji wa hadhi yetu, haina viongozi wa hadhi yetu, haina mdhamini wa hadhi yetu, shirikisho hatuwezi kufika fainali kwa hali hii.

Naona tukifungwa mara ya 5 mfululizo ikiwa Mo na genge lake wataendelea kuwepo Simba.
 
Kwa kiasi fulani upo sahihi, ni kweli Simba ni kama tumesajili wachezaji wengi ila ni wakawaida kwa kweli. Naweza kusema wachezaji angalau tuliosajili wenye ubora ni Debora, Camara, Hamza na Ateba. Hawa wengine ni wakawaida sana labda na Mpanzu japo bado hajaanza kucheza.
 
20241020_103655.jpg
 
Lakini ni wazi Kibu hakujiangusha, na faulo iliyosababisha goli inahusiana na nini hasa?

Nakubali Musonda na Mzize walileta uhai na kwa jinsi beki ya Simba ilivyo, wasingeweza kuzuia kwa muda mrefu; ila mechi ilikuwa imeisha dk 15 za kwanza!
 
Wametuzidi quality wametuadhibu aliye juu usimngoje chini mfuate huko huko juu.
 
Mara baada ya mchezo, viongozi wa Simba wakakimbilia mitandaoni kutuhadaa kwa kumtupia lawama goal keeper na Mwamuzi wa mchezo.

Wamesahau kuwa yanga jana walituongoza kwa kila kitu kuanzia Possession hadi idadi ya nafasi zilizo tengenezwa kwani walicreate clear chance 4 za magoli ni uzembe wao tu. Sisi tumecreate clear chance 1 tu Ateba akakosa kwa bahati mbaya.

Tukija kwenye penat nikweli tulinyimwa penat 1 sio mbili, lakini tukumbuke kuna mchezaji wetu alistahili red card lakini akapewa njano.

Kwakifupi mimi michezo 4 ya mwisho imefanya niamini kuwa hatuna timu. Rejea mechi ya Dodoma jiji tulizawadiwa penat, mechi ya Coastal ilukuwa tufe, mechi ya Azam hata sijui tulishindaje.

Timu haina wachezaji wa hadhi yetu, haina viongozi wa hadhi yetu, haina mdhamini wa hadhi yetu, shirikisho hatuwezi kufika fainali kwa hali hii.

Naona tukifungwa mara ya 5 mfululizo ikiwa Mo na genge lake wataendelea kuwepo Simba.
Nadhani hakuna Cha maana hasa ulichokiandika ila endelea na ajenda Yako mbovu japo haitafanikiwa...nani kakwambia kipimo Cha Simba bora ni kutokufungwa na Yanga?
 
Mara baada ya mchezo, viongozi wa Simba wakakimbilia mitandaoni kutuhadaa kwa kumtupia lawama goal keeper na Mwamuzi wa mchezo.

Wamesahau kuwa yanga jana walituongoza kwa kila kitu kuanzia Possession hadi idadi ya nafasi zilizo tengenezwa kwani walicreate clear chance 4 za magoli ni uzembe wao tu. Sisi tumecreate clear chance 1 tu Ateba akakosa kwa bahati mbaya.

Tukija kwenye penat nikweli tulinyimwa penat 1 sio mbili, lakini tukumbuke kuna mchezaji wetu alistahili red card lakini akapewa njano.

Kwakifupi mimi michezo 4 ya mwisho imefanya niamini kuwa hatuna timu. Rejea mechi ya Dodoma jiji tulizawadiwa penat, mechi ya Coastal ilukuwa tufe, mechi ya Azam hata sijui tulishindaje.

Timu haina wachezaji wa hadhi yetu, haina viongozi wa hadhi yetu, haina mdhamini wa hadhi yetu, shirikisho hatuwezi kufika fainali kwa hali hii.

Naona tukifungwa mara ya 5 mfululizo ikiwa Mo na genge lake wataendelea kuwepo Simba.
Kwani hyo redcard angepewa ingeharibu nini kama Simba tayari maybe imepata penati aliyonyimwa?? Huoni kama ingewezekana isingekuwepo??
Mbeleko fc...
 
Mara baada ya mchezo, viongozi wa Simba wakakimbilia mitandaoni kutuhadaa kwa kumtupia lawama goal keeper na Mwamuzi wa mchezo.

Wamesahau kuwa yanga jana walituongoza kwa kila kitu kuanzia Possession hadi idadi ya nafasi zilizo tengenezwa kwani walicreate clear chance 4 za magoli ni uzembe wao tu. Sisi tumecreate clear chance 1 tu Ateba akakosa kwa bahati mbaya.

Tukija kwenye penat nikweli tulinyimwa penat 1 sio mbili, lakini tukumbuke kuna mchezaji wetu alistahili red card lakini akapewa njano.

Kwakifupi mimi michezo 4 ya mwisho imefanya niamini kuwa hatuna timu. Rejea mechi ya Dodoma jiji tulizawadiwa penat, mechi ya Coastal ilukuwa tufe, mechi ya Azam hata sijui tulishindaje.

Timu haina wachezaji wa hadhi yetu, haina viongozi wa hadhi yetu, haina mdhamini wa hadhi yetu, shirikisho hatuwezi kufika fainali kwa hali hii.

Naona tukifungwa mara ya 5 mfululizo ikiwa Mo na genge lake wataendelea kuwepo Simba.
Mzee,
Iyo mechi ya Jana uliangalia ukiwa uchi au umelewa??

YANGA WENYEWE hawana furaha ilikua ni Kama bahati kwao Simba ipo vizuri TU SEMA ndio ivyo football game ni michezo una azibiwa kutokana na makosa.
 
Back
Top Bottom