Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

Hisa za kampuni nzuri kama NMB zinaposhuka bei ndo muda sahihi wa kuziokota kwa wingi. Hutakiwi kuogopa……. Utajiri huwa unapatikani pundi watu wanapoogopa kufanya kitu flani na kukimbia. Jasiri huwa anachukua hatua na kusonga mbele
 
Naona NICOL leo nao wamesha fanya yao πŸ”₯πŸ”₯
 
Asante mkuu.. nisha ingia nina hisa zangu tayari za Benk X
Endelea kuwekeza bila kuchoka au kukata tamaa. Mbele kweupe……Baada ya miaka 5 utajiona ulichelewa
 
Uwekezaji kwenye hisa unahitaji uvumilivu. Hii sio betting ya kuweka hela leo usubiri kesho uvune. Matokeo makubwa kwenye hisa yapo kwenye kuvumilia(Muda). Chagua kampuni inayofanya vizuri then upe uwekezaji wako Muda
 
Ntainuaje kampuni inayofanya vizuri
 
Mkuu hongera unaonekana uko vyema kwenye nyanja hiyo
 
Mnaokota hisa sokoni? Au mnasubiri mpaka zianze kupanda ndo mnunue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…