Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

Hapo sio chini ya 100M. Angekuwa amenunua hisa za NMB kwa 15,000 kwa hisa leo angeshakuwa na faida zaidi ya 30% ndani ya miezi 3 ambapo ndo faida anayoitegemea huko kwa miaka 3
Mambo ya hisa sio ya kukurupukia kk kama huna elim nayo. Ni kweli unaweza pata faida kubwa kwa muda mfupi, pia vile vile unaweza pata hasara kubwa kwa muda mfupi ukapotea uringoni. Kila mmoja awekeze anapoweza
 
Hii dunia ukipenda vitu soft soft utaishia kuwaona wenzio Freemason. Acha uoga soma game then wekeza kwa muda mrefu
 
Habari mkuu ? Naomba mawasiliano yako
 
1.Nipe list 3 wa Brokers wauhakika
2.Nimuda gani sahihi wa kununua hisa? Binafsi nina account ya DSE ila sina elimu ya kutosha ya kuanza kununua hisa. Nasubiri zishuke ninune au nifanyaje?
3.Kipi nianze kati ya kununua Hisa, Hati fungani au UTT?
 
Broker wote ni wazuri. Binafsi mimi namtumia Solomon Stockbroker. Hakuna muda maalumu wa kusema uingie sokoni kwani hakuna ajue kwamba soko litapanda au kushuka zaidi ni makisio tu. Kama ni kijana na still unamalengo ya muda mrefu…..Tembea na hisa zitakufaa zaidi.
 
Asante mkuu
 
Tunasonga mdogo mdogo. Waoga na matomaso endeleeni kuogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…