Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
Pole mkuuUmasiki mbaya aisee,
Natoka Mwanza naenda Dar hapa ni saa 5 kasoro ndiyo natoka Shinyanga nimeanza safari saa 1 jioni na hapa nimechoka sana na tunafika Dar kesho saa 7 mchana aisee sijui nitakuwa na hali gani
Mungu nijalie wakati wa kurudi nipande Air Tanzania
siyo kweli. mwanza station ndo kwanza wanabomoa majengo ili kujenga hiyo reliMwakani SGR ataanza safari Rasmi to mwanza
kweli kabisa ni adventure kusafiri na basiMimi nmetoka Dar 2000 naenda Bukoba kwa Bus ya Travel Partner. Ntafika kesho saa 1500. Cwez kulaumu Umaskini cz kusafr na Bus n raha sna.
Masaa 48 ya wapi mzee hamna kona ya hii nchi inatumia huo muda kufika kona nyingine, kwa jinsi unavyolalama we utakuwa kibonge na vivuNdo ivo hatuna option aisee
Dar-Bukoba ni safari ndefu mno Kwa bus haifai.
Bus inatakiwa uishie Dodoma
Safari masaa 48 Kwa bus ni mengi mno
Umejua kunishangaza, hongeraHuo ndio uraibu wangu mkuu
Hahahaaaa asante mkuu... bila shaka na wewe unao uraibu wako ambao mimi nikiuskia nitashangaa pia.Umejua kunishangaza, hongera
Serikali tuta longe safar ya tren utafurah sana SGR oyeeeeUmasiki mbaya aisee,
Natoka Mwanza naenda Dar hapa ni saa 5 kasoro ndiyo natoka Shinyanga nimeanza safari saa 1 jioni na hapa nimechoka sana na tunafika Dar kesho saa 7 mchana aisee sijui nitakuwa na hali gani
Mungu nijalie wakati wa kurudi nipande Air Tanzania
Msijali tutafanya ivyo soon ,,,lakin kura mtupe za kishndo tumalizie kaziSerikali ituletee hiyo SGR watu wa Kanda ya ziwa
Kuwa mpole, huyo uliyekaa naye hapo ndiyo mduguyo kwa sasa.Umasiki mbaya aisee,
Natoka Mwanza naenda Dar hapa ni saa 5 kasoro ndiyo natoka Shinyanga nimeanza safari saa 1 jioni na hapa nimechoka sana na tunafika Dar kesho saa 7 mchana aisee sijui nitakuwa na hali gani
Mungu nijalie wakati wa kurudi nipande Air Tanzania
Ni kitu gani na unauza shingapi???View attachment 3085342View attachment 3085342mkuu ukifika stend ya mabas nzega, nisitue nikuuzie hii hautajutia safari Yako utafika mwisho wa safari Yako uko fiti sana
Tafuta hela.Umasiki mbaya aisee,
Natoka Mwanza naenda Dar hapa ni saa 5 kasoro ndiyo natoka Shinyanga nimeanza safari saa 1 jioni na hapa nimechoka sana na tunafika Dar kesho saa 7 mchana aisee sijui nitakuwa na hali gani
Mungu nijalie wakati wa kurudi nipande Air Tanzania
Kwamba zamani kilometa zilikuwa chache na leo zimeongezeka?Bado haiondoi umbali.
Mwanza-Dar siku hizi pamekuwa parefu tofauti hata zamani. Tulikuwa tunafika siku hiyohiyo kwenye saa 1 jioni au saa2 na Zuberi.
Leo hii masaa yameongezeka, mnasafiri njiani hadi unahisi kizunguzungu.
huko huko mwanza kuna vyuma tu,Allys ana bus za VIP na VVIP nauli 120k VVIP,kama haijabadilika.Ungeenda hadi Dodoma afu upande chuma.
Panda SGR hadi Dodoma na Dodoma hadi Mwanza chukua basiUmasiki mbaya aisee,
Natoka Mwanza naenda Dar hapa ni saa 5 kasoro ndiyo natoka Shinyanga nimeanza safari saa 1 jioni na hapa nimechoka sana na tunafika Dar kesho saa 7 mchana aisee sijui nitakuwa na hali gani
Mungu nijalie wakati wa kurudi nipande Air Tanzania
Yaleyale tu hiyo safari balaa mimi hapa huwa napanda allysPanda Ally’s luxury coach hutajuta
Mkuu mbona nakuonea wivu , naona unakula raha.
Ungekuwa na Safar ya moja Kwa moja Mwanza- Mbeya nadhan ungemwaga chozi.
Mmenikumbusha kuna siku nilikuwa Arusha nikakutana na watu wanajiandaa kurudi Mbeya. Nikapiga hesabu ya ile trip nikawaonea huruma saana.Kuna hii kutoka mwanza Hadi mbeya, ukifika Dodoma safari inaanza upya kuitafta mbeya.