Safari ya Mwanza - Dar Kwa bus ni adhabu

Mkuu ndio maana kumewekwa madaraja tofauti ktk Mabasi ya Safari hata kwenye Ndege, trni na Meli.
 
Bado haiondoi umbali.
Mwanza-Dar siku hizi pamekuwa parefu tofauti hata zamani. Tulikuwa tunafika siku hiyohiyo kwenye saa 1 jioni au saa2 na Zuberi.
Leo hii masaa yameongezeka, mnasafiri njiani hadi unahisi kizunguzungu.
Ulikuwa bado mtoto mdogo. Sasa umeshakuwa mtu mzima.
 
Usijali mbunge wako atapanda ndege kukuwakilisha
 
Kwamba zamani kilometa zilikuwa chache na leo zimeongezeka?
Kwanza zamani kwenda Mwanza tulikuwa tunapitia Nairobi !
Mtu unasafiri hadi unajishangaa. Siku hizi naona ni raha sana tuu.
Kilometa hazijapungua wala kuongezeka isipokuwa mwendo umedhibitiwa.
Mi sizungumzii zamani hizo za kupita Nairobi nazungumzia zamani za kupita huku senkenke.
Kwani mtu mwenye gari private anatumia saa ngapi kutoka Dar hadi Mwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…