Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Swala la kuuliza bei kwa kweli ni la muhimu sana. Msije mkajichanganya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ah wapi..Swala la kuuliza bei kwa kweli ni la muhimu sana. Msije mkajichanganya.
Kuna sehem zipo za kawaida ila wanauza vitu bei sana. So ili kutoweia hali ya kukasirishana bora uulize tu. Kuuliza sio ujinga.ah wapi..
mbona location tu inakuonesha hi8 sehemu ni expensive
Una mambo ya kindewa sana🤣kama kinagusa ukutani hio sehemu yangu we utazima taa tu.
[emoji38][emoji38][emoji38]unakula nyama mwishoni baada ya kumaliza chakula..
Kitanda ni katikatiVipi kama kitanda changu kinagusa ukutani nimeumaliza mwendo au bado nina safari ndefu?
Umeona eeeh,,Haya mambo ya kubana ukutani safari bado ndefu😁Kitanda ni katikati
Kushoto ushuke, kulia ushuke, mbele ushuke, nyuma uzunguke 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama unaangalia status yako uliyoweka mwenyewe kila dakika asee hutatoboa maisha haya.
Mafanikio ni mchakato wenye kupitia hatua nyingi kuukamilisha..Endapo unapitia hizi situation jua bado una safari ndefu katika kutafta mafanikio.
1.Ukienda kunyoa nywele unapakwa perfume badala ya aftershaving cream.
2. Ukienda bar au mgahawani unaulizia bei ya vitu kabla ya kuagiza.
3.Kila mwanamke unayemuona unamtamani na upo radhi kulala nae bila kujali ubora wake.
4. Unauza kitu cha zamani kwanza ili uongeze hela ununue kitu kipya.
5. Unakula kila unachokiona mbele ya macho yako.
.... mengine mtaongezea.
Umetoka kufanya hivyo?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapana,hata huwa siweki hizo status mkuuUmetoka kufanya hivyo?
Weka tukuoneHapana,hata huwa siweki hizo status mkuu
Sawa bhanaWeka tukuone
7: Team Kataa NdoaEndapo unapitia hizi situation jua bado una safari ndefu katika kutafta mafanikio.
1.Ukienda kunyoa nywele unapakwa perfume badala ya aftershaving cream.
2. Ukienda bar au mgahawani unaulizia bei ya vitu kabla ya kuagiza.
3.Kila mwanamke unayemuona unamtamani na upo radhi kulala nae bila kujali ubora wake.
4. Unauza kitu cha zamani kwanza ili uongeze hela ununue kitu kipya.
5. Unakula kila unachokiona mbele ya macho yako.
.... mengine mtaongezea.
KAma bado unatumia pesa kutongozaEndapo unapitia hizi situation jua bado una safari ndefu katika kutafta mafanikio.
1.Ukienda kunyoa nywele unapakwa perfume badala ya aftershaving cream.
2. Ukienda bar au mgahawani unaulizia bei ya vitu kabla ya kuagiza.
3.Kila mwanamke unayemuona unamtamani na upo radhi kulala nae bila kujali ubora wake.
4. Unauza kitu cha zamani kwanza ili uongeze hela ununue kitu kipya.
5. Unakula kila unachokiona mbele ya macho yako.
.... mengine mtaongezea.
Wewe umepita hayo yote?Endapo unapitia hizi situation jua bado una safari ndefu katika kutafta mafanikio.