Safari yako ya mafanikio bado ndefu

Safari yako ya mafanikio bado ndefu

Sitaacha kuuliza…. Hapo kale nilikula kistaa sehemu ambako wanalipa kwa bufee’self service.. as long as uligusa kitu chao, ule sana ama kidogo. Wote mnalipa sawa.

Nilijifunza 😂😂
Kuna mmoja huyo aliagiza wali na samaki pale villa wakati huo, akaletewa samaki kweli mkubwa, pindi amemaliza kuletewa bill alipaliwa na mfupa wa samaki.
 
mkuu mimi sikusaidia ili kuja kusaidiwa. Ulikuwa ni msaada genuine kabisa. Lakini kibinadamu mara kadhaa nikiwa nahitaji jambo kwao wamekuwa wakijitoa na kusaidia wanavyoweza. Tunasaidiana hapa na pale.
umejibu vyema ungejichanganya ungeona kisa cha chura kutosugua mwili japo mawe anayo humohumo kwenye maji mkuu we ni jinnhazi, sana haya tuma salamu kwa watu sita ujumbe waambie likizo unaenda, bado mwezi unusu
 
Back
Top Bottom