Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Chali unaijua risasi wewe?
 
watu mnaoletaga story hakikishen mmeandika story zenu zote mmalize then msave pemben ndo mlete humu kidogo kidogo kuliko mnaanza vizur mkishaona watu wamekua wengi ndo mnajifanya na nyinyi eti mna majukumu mengine wakati masniper tukiwafatilia tunaona mnaingia mara kibao tu umu..
 
HII SASA NDO STORY YA KIUME. SIYO ZILE ZA KIPUUZI ZA KUTIANA NA MISUKULE.ZIMEJAA UONGO MWINGI. NJOONI MSOME STORY YA KIUME HAPA.
Hii mkulu mpaka naogopa. Tanzania kwa kweli tuitunze amani yetu.ni aherl kula ugal na chumv ila amani.huko batakula ya kongo nguvu kumayi.
 
Hii mkulu mpaka naogopa. Tanzania kwa kweli tuitunze amani yetu.ni aherl kula ugal na chumv ila amani.huko batakula ya kongo nguvu kumayi.
Mleta mada kaliweka wazi hilo alipokuwa Rwanda. Na Rwanda wanavyojisifu kuna amani

Hilo nilisha lifuatilia mapemaa, nikawa na Visa ya Dola100 nikapita Rwanda. Kuna mengi hapa Rwanda lakini kwakua sio mada ya Leo itoshe kusema ni Dunia tofauti sana. Tuishi bongo tu, amani inatosha.
 
Nimeipenda sana. Tuletee zaidi.
 
Calm down , Akifanya hivo utamlipa, ridhika na kidogo unachopata na ukizingatie,
Kama movie tunalipia lakini kuiangalia episode moja kwa wiki na ikiisha season one season nyngne mpaka mwaka upite ndo itoke isije kuwa hapa na jamaa hapati faida yeyot.
 
Msimuliaji yupo huko uwanja Kivita alipopata muda wake mchache akaone asimulie alichokutana nacho.
Wewe ukishashiba tambi wakati unaanza kubeua unataka story iwe tayari ili uwe unasoma huku unabeua. Vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…