Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Aendeleze au asiendeleze kikubwa ujumbe umewafikia nyote.. Hii si burudani bali ni elimu kwa wapambanaji wote.
 
Msimuliaji yupo huko uwanja Kivita alipopata muda wake mchache akaone asimulie alichokutana nacho.
Wewe ukishashiba tambi wakati unaanza kubeua unataka story iwe tayari ili uwe unasoma huku unabeua. Vizuri.
Wap amesema yupo uwanja wa vita.. embu angalia apo kwenye alama kama ni kitu cha leo.. inaonekana wewe hata kusoma kwako ni changamoto
 
Attachments

  • 23EDDBDD-4AE3-4241-8A94-9057A61BE78E.jpeg
    156.1 KB · Views: 40
Wap amesema yupo uwanja wa vita.. embu angalia apo kwenye alama kama ni kitu cha leo.. inaonekana wewe hata kusoma kwako ni changamoto
Hiyo Mwaka juzi ni alipoingia Uvira kwani amesema amesharudi? au nina changamoto ya kusoma kweli kama ulivyosema mkuu?
 
Msimuliaji yupo huko uwanja Kivita alipopata muda wake mchache akaone asimulie alichokutana nacho.
Wewe ukishashiba tambi wakati unaanza kubeua unataka story iwe tayari ili uwe unasoma huku unabeua. Vizuri.
Banabidam banapenda raha .we naonalaa jamaa anahadisia mu ak 47 kulia kama pikipik tena unataka na unafos muendelezo.we uamweza?
 
JF ingeweka kanuni ili mtu akishindwa kufanya muendelezo wa simulizi yake ndani ya saa 24 inafutwa.

Yes,iliyobaki akahadithie wanae!
watu wana kazi zao usiwapangie cha kupost ,kama wewe huna kazi ya kufanya muda wote upo humu jitafakari.
 
Goma tulipotokea Wagoma ni tofauti na hiyo Goma ya Kivu kaskazini,
Goma ya Wagoma ni Kivu kusini, Mwambao wa Zoni ya Fizi mpaka kaskazini ya Kalemi(Kabimba, Falls Bendera). Kwa kilugha hutamkwa G'oma(g'=voiced velar approximant), na siyo jina la eneo la kisiasa ni kama vile kusema Fipa=Wafipa, Manda=Wamanda, Buha=Waha n.k, pia kiasili lilikuwa ni jina la eneo kati ya vighuba vya Kasaba mpaka Yungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…