JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Kwa yanayoendelea Congo!... Nimeonelea niufufue huu uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😂Kwa yanayoendelea Congo!... Nimeonelea niufufue huu uzi
Mwasibu upo.Au jamaa wamemla kichwa. Si alisema yupo Goma?
Una habari za mtoa mada? Yupo na uhai?Mwasibu upo.
Naunga mkono hojaMtoa mada huenda kakutana na M23 na kumlazimisha ajiunge nao.
Sipendi kumtabiria mtu kifo.
Natumaini atajitokeza siku moja kutuletea Mwendelezo.
Kwa yanayoendelea Congo!... Nimeonelea niufufue huu
Uzi uendeleeKwa yanayoendelea Congo!... Nimeonelea niufufue huu uzi
Nimeimaliza hii imeisha yoteKuna moja ilikuwa inasisimua ya jamaa alikuwa anaendesha IT/ gari mpya binafsi za wateja toka bandari ya Dar wa salaam kwenda Congo ,yeye na jamaa alikuwa anaitwa Ramadhani , kama sikosei ,ile ilikuwa inasisimua kama movies aisee na mpaka iliisha.
Yule jamaa alikuwa vizuri kwenye kusimulia sana
Link hiyo , bonge moja la story ya kusisimua na jamaa alimaliza
,Kila siku jamaa alikuwa anashusha vitu ,wengine wanatekeleza story zao sijui wana matatizo gani
https://www.jamiiforums.com/threads/maisha-na-mikasa-ya-safari-yangu-nchini-dr-congo-miaka-ya-2000s-hadi-kutaka-kupigwa-risasi-hadharani.1867382/?amp=1
Huu ni sawa na utapeli alafu JF wana utaratibu wa kuweka hio Badge kwa mtu wa hivi mfano ni huu
Jamaa alidai alikua anaandika kila anapopata nafasi na alikiri kuna wakati wanakuwa sehemu zisizo na mtandao kabisa au wakati mwingine wanakuwa maeneo yenye mapigano.Huyu Jamaa amejua kuwaua watu kwa kuwaweka na arosto ya Mwaka mzima
JINA LAKEJamaa alidai alikua anaandika kila anapopata nafasi ma alikiri kuna wakati wanakuwa sehemu zisizo na mtandao kabisa au wakati mwingine wanakuwa maeneo yenye mapigano.
Mimi nimepita pande hizo, hivyo nayaelewa sana. Kuna Mtanzania yupo huko alipoanza kwenda alinyanyasika sana, akadhulumiwa hadi kuwekwa ndani miaka kadhaa, alipoachiwa alirudi nchini then akarudi tena kule akisema potelea mbali kwa yaliyomtokea na ka alivyodhurumiwa hadi kufungwa ni heri akafie huko kuliko kurudi nchini kifala.
Akarudi tena, sasa hivi ni Don huko, ukidakwa na either askari wa serikali su kundi lolote la waasi wewe mtaje yeye tu, watakusindikiza hadi kwake.
Kapuni kwa sasaJINA LAKE
Kapuni kwa sasa
Gari za mizigo za wabongo hazifiki kule, ila tulishaongea na mshikaji na akawasisitiza waasi na askari wa serikali maeneo ya huko kwamba katika mishe zao wakikutana na watanzania wahakikishe maisha yao na usalama wao na mali zao unapewa kipaombele.Weka jina lake, gari za mizigo zinatekwa sana huko