Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia [emoji4]Story za ukweli ni changamoto kuziandaa, tuwe wavumilivu. Lakini pia mleta mada uwe unajitahidi kuweka mwendelezo hata epsode moja kwa siku
Yule mhuni kanipiga dongo la kimya kimya[emoji38]Aisee nimecheka sana kwenye coment deep pond kaambiwa kazi ya duka ni ya kimama, wakati jamaa ana stress za mchepuko, pole jamaangu. Alafu kupitia comments nimejua watanzania ni wajuaji sana aisee, yan mara jamaa katekwa mara jamaa kapigwa za kichwa yan tafrani... Wakuu kuwen na subira jamaa atakuja tu na mwendelezo
Ahsante sana mkuu, ngoja nikajivinjari.Kuna moja ilikuwa inasisimua ya jamaa alikuwa anaendesha IT/ gari mpya binafsi za wateja toka bandari ya Dar wa salaam kwenda Congo ,yeye na jamaa alikuwa anaitwa Ramadhani , kama sikosei ,ile ilikuwa inasisimua kama movies aisee na mpaka iliisha.
Yule jamaa alikuwa vizuri kwenye kusimulia sana
Link hiyo , bonge moja la story ya kusisimua na jamaa alimaliza
,Kila siku jamaa alikuwa anashusha vitu ,wengine wanatekeleza story zao sijui wana matatizo gani
https://www.jamiiforums.com/threads/maisha-na-mikasa-ya-safari-yangu-nchini-dr-congo-miaka-ya-2000s-hadi-kutaka-kupigwa-risasi-hadharani.1867382/?amp=1
Kwanini wanahisi waTZ ni wapelelezi?Ndio hapo hapo ninapicha nilipiga kama kumbukumbu, ukweli Rwanda mtanzania anaogopwa sana wanahisi kila mmoja ni mpelelezi hivo wanakufuatilia hadi unapolala na kama unavuka nchi kama ulitiliwa shaka utapewa mtu kama abiria ahakikishe umevuka harakati za utafutaji ni ngumu sana basi tu,
Coz Rwanda and their tutsi regime is an open book to TzKwanini wanahisi waTZ ni wapelelezi?
Tunapeleleza nn rwanda?
Maxence Melo tunakuomba tu atafutwe huyu ndugu yetu tupate kufahamu muendelezo wa hii safari yake.Hapa ndipo linapokuja swala la uongozi wa JamiiForums na Moderator Active na wengineo kumfuta mleta uzi na kumsihi aendeleze either kwa kumuomba au kumuahidi chochote kitakochomfaa sababu jamii forum inapata pesa kupitia watu ambao n memba na wanoperuz jf Sasa Kama n hvyo kwann jf inashindwa kuwapa watu kile wanatka vipi huyu jamaa akaenda kuweka hii stori pahala pengine?
Kapigwa risasiDah, nimesoma page zote kutoka ya 1 mpaka hii ya 26, kwanini haujamalizia stori yako mkuu?
Kapigwa risasi