Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Nimeimaliza hii imeisha yote
 
Huyu Jamaa amejua kuwaua watu kwa kuwaweka na arosto ya Mwaka mzima
Jamaa alidai alikua anaandika kila anapopata nafasi na alikiri kuna wakati wanakuwa sehemu zisizo na mtandao kabisa au wakati mwingine wanakuwa maeneo yenye mapigano.
Mimi nimepita pande hizo, hivyo nayaelewa sana. Kuna Mtanzania yupo huko alipoanza kwenda alinyanyasika sana, akadhulumiwa hadi kuwekwa ndani miaka kadhaa, alipoachiwa alirudi nchini then akarudi tena kule akisema potelea mbali kwa yaliyomtokea na ka alivyodhurumiwa hadi kufungwa ni heri akafie huko kuliko kurudi nchini kifala.
Akarudi tena, sasa hivi ni Don huko, ukidakwa na either askari wa serikali su kundi lolote la waasi wewe mtaje yeye tu, watakusindikiza hadi kwake.
 
JINA LAKE
 
Huyu jamaa aliishia wapi ?
Au M23 walishamfanya ndafu ?
 
Huyu jamaa aliishia wapi ?
Au M23 walishamfanya ndafu ?
 
Story za harakati za kiume kama hizi kule Congo na Msumbiji ndio nzuri , kutupa motivation hustlers
 
Weka jina lake, gari za mizigo zinatekwa sana huko
Gari za mizigo za wabongo hazifiki kule, ila tulishaongea na mshikaji na akawasisitiza waasi na askari wa serikali maeneo ya huko kwamba katika mishe zao wakikutana na watanzania wahakikishe maisha yao na usalama wao na mali zao unapewa kipaombele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…