Safari za Dar - Dom za Rais Samia zimekuwa nyingi, ni hatari kwa usalama wake

Safari za Dar - Dom za Rais Samia zimekuwa nyingi, ni hatari kwa usalama wake

Mwacheni mama amejipangia huo ndo utaratibu wake. Safari za ndege ni salama sana wala usiwe na wasiwasi!
Jipiganie kwanza kabla ya kuanza kumlilia Mungu..
Ukifa kizembe hata uko mbinguni utaambiwa umekufa ki
 
Kuna mtu aliniambia ofisi ya Rais ikulu haijamalizika 100% iko katika hatua za mwisho
Hapa Dom mama tupo naye huku Uzunguni,kule Chamwino huwa anaenda mara moja moja kiofisi kupitia Udom.
 
Safi sana, inapendeza...

Kama safari zake hazieleweki ni bora zaidi kwa usalama wake...
 
 
Back
Top Bottom