ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Mkuu kama una 'fununu' au 'nyepesi nyepesi' unaonaje ukaisaidia Polisi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana potential enemies kama mtangulizi wake.sio midege tu! hata barabara pia! Mahasimu kuwaweza ni kwamba apunguze safari, fullstop.
Mama ana ofsi mikoa yote, anaowaongoza/kutawala wako mikoa yote.Kwa vile ninampenda sana Rais wangu. Napenda niwashauri hili watu wake wa karibu.
Rais amekuwa haeleweki ni wapi hasa makazi yake. Safari za Dar - Dom zimekuwa nyingi sana. Na anapaa angani, ina month anaweza fanya kama mara nne mpaka saba. This is riskier...ni hatari kwa usalama wake...
Atakuwa kazeeka sana hiyu kigagulaHalafu huyu bi mkubwa FaizaFoxy amekuwa adimu sana siku hizi! 😇
Haina haja Sana kufuata matakataka ya kupishana na fisi wa Dodoma,,[emoji38][emoji38][emoji38] juzi nilikuta moja limegongwa na gari pale KisasaHapa cha msingi ahamie tu Dodoma ili kumuenzi Mtangulizi wake. Ikulu ya Magogoni, kama alivyotaka Mtangulizi wake, igeuzwe kuwa Jumba la Makumbusho!
Wizara na Taasisi zote za Serikali, zihamie Dodoma. Na yeye kama anataka kwenda kusalimia nyumbani (Zanzibar), basi atafute ziara za uongo na kweli, akafurahie zake harufu ya karafuu!
Na sisi humu jukwaani kama kawaida yetu, tutabweka weee! Lakini hakuna kitakacho badilika.
HahaahaahahahahahaHuu ndio wakati wake wa ku enjoy Aeroplane. 🤣🤣
Mkutano wa hadhara utakuingizia fedha kiasi gani mfukoni wewe binafsi?Acha afe.Madikteta wakifa ni jambo la kheri.Huyu ni Magufuli wa kike.Anazuiaje mikutano ya hadhara ya kisiasa wakati ni haki ya kikatiba?
Bila demokrasia unaingizaje fedha?Hawa wazanzibari kwenye hii picha hapa chini wakati wanakula hiki kipondo wakati wa uchaguzi mkuu huko Zanzibar kutokana na kukosekana kwa demokrasia, waliweza kuingiza fedha mifukoni mwao?Mkutano wa hadhara utakuingizia fedha kiasi gani mfukoni wewe binafsi?
Uzandiki hautawasaidia lolote nyie bavichaBila demokrasia unaingizaje fedha?Hawa wazanzibari kwenye hii picha hapa chini wakati wanakula hiki kipondo wakati wa uchaguzi mkuu huko Zanzibar kutokana na kukosekana kwa demokrasia waliweza kuingiza fedha?
View attachment 1838624
CCM endeleeni kubaka wananchi,kulawiti wananchi kama tulivyoona enzi za Magufuli,kuiba kura,kuteka,kutesa,kuua,ukabila,ukanda,ubaguzi wa rangi(tulishuhudia hili enzi za Magufuli),kukandamiza demokrasia,kuua uhuru wa kujieleza,kuua uchumi,kudanganya wananchi na kadhalika.Haya ndiyo yatawasaidia?Uzandiki hautawasaidia lolote nyie bavicha
Ndiyo Ukweli WenyeweMama anapenda safari
Mji mkuu uko dodoma na ndio makazi ya rais. Kama hawezi kukaa dodoma abwage manyanga. Kila leo yuko dar. Kama ni familia umri huo kwa nini imsumbue?Kwa vile ninampenda sana Rais wangu. Napenda niwashauri hili watu wake wa karibu.
Rais amekuwa haeleweki ni wapi hasa makazi yake. Safari za Dar - Dom zimekuwa nyingi sana. Na anapaa angani, ina month anaweza fanya kama mara nne mpaka saba. This is riskier...ni hatari kwa usalama wake.
Vyombo vinavyopaa angani hakika si salama sana, hasa ukizingatia ni Rais.
USHAURI
Mama chagua sehemu moja ya kukaa. Nafahamu unaandamwa na 'guilty conscious' kwamba unatimiza legacy...ili tu eti kuwaridhisha CCM, eti 'legacy' so unalazimika kuwa Dom mara kwa mara.
Sisi ndio wananchi chagua kukaa panapo kupendeza na tutabariki. Kama ni Dar basi baki Dar...kama ni Dom basi baki Dom, kwa usalama wako.
Midege hii si ya kuamini sana Mama yetu. For your safety.
Nimemaliza.
Embu tuone ilivyo?Kuna mtu aliniambia ofisi ya Rais ikulu haijamalizika 100% iko katika hatua za mwisho
Kuna clip JPM alitembelea office za Rais ikulu zilikuwa bado katika ujenzi uki search youtube utakutana nayo tu.Embu tuone ilivyo?
NitumieKuna clip JPM alitembelea office za Rais ikulu zilikuwa bado katika ujenzi uki search youtube utakutana nayo tu.
Kodi gani wewe. Sema anachezea hela za wa hisaniMagu alikuwa na Makazi matatu... Dar,Dom na Chato...
Si muda Mama ataongeza kazi la tatu..Zanzibar.
Hii ndio TZ... Lakini nawaza zaidi hizo gharama...maana ni kodi zetu watanzania masikini..
Nchi ngumu sana hii.
Hawezi ishi Dom ataishije kwenye ukame maji shida.Anaogopa kivuli cha Jiwe pale Chamwino
So hana mpango wa kuishi Dodoma, matukio ya kitafifa yanamlazimisha