Safari za Dar - Dom za Rais Samia zimekuwa nyingi, ni hatari kwa usalama wake

Tunakuonea huruma kufanya kazi ya Urais kama mwananchi wa gongo la mboto to kariakoo.
Hii kuwa hewani Dodoma,Dar,Dodoma,Dar si nzuri kwako.

Tunafahamu Chamwino bado kwa hadhi ya wageni wako kimataifa kuwapokea pale.

Pia jiografia ya Dodoma mjini hadi Chamwino ni ngumu kwa ugeni wakimataifa hata kuwahifadhi hotelini.

Tatu,Serikali ya Zanzibar wamekuwa watumwa kusafiri hadi Dodoma kila wakati.

Ulisema tushauri.
B
Rais Baki Dar
Makamu abaki Chamwino.
awe anakupokea ukienda

Ofisi za Chamwino zikiisha na makazi yako utaamua sasa.

Wananchi tunaelewa tu makao makuu yapo Dodoma hata ukiwa Magogoni.
 
akae hapohapo Chamwino kwani kuna kitu gan kinakosekana pale? Kama wageni wakipokelewa Chato se mbuse hapo Chamwino?
 
jana Marehe m Mfugale walimuaga Dodoma ye hakue nda kuaga kasubiri leo kaja kuagia Dar kwaiyo Mama katoka Dodoma ulikotoka mwili kaja Dar kuaaga mwili.
Usilaumu,shauri.Mama anapenda ushauri, Umesikia anakoromea mtu?
Karibu
 
Ikulu ni Daisalamu oshie. Hata wakati wa mtanguluzi wake JPM,matendo yaliongea hivyo ingawa kwa sauti ya chini chini.
 
akae hapohapo Chamwino kwani kuna kitu gan kinakosekana pale? Kama wageni wakipokelewa Chato se mbuse hapo Chamwino?
Chamwino hakuna hotel kama ya Chato.
Chamwino hakuna traffic light kama Chato.
Chamwino hakuna barabara za lami nyingi kama Chato
Chamwino hakuna uwanja wa ndege kama Chato
 
Bila shaka hujui Chamwino iko wapi
 
Unaweza kusafiri mara chache tu ukapata ajali
Swala si kwa Rais tu,
Wapo wasaidizi wake wanaosafiri angani na aridhini wote tunawapenda.
Akiumwa tumbo hatutajua nikwawagogo au wakwere
 
Tunakuonea huruma kufanya kazi ya Urais kama mwananchi wa gongo la mboto to kariakoo.
Hii kuwa hewani Dodoma,Dar,Dodoma,Dar si nzuri kwako.

Tunafahamu Chamwino bado kwa hadhi ya wageni wako kimataifa kuwapokea pale.

Pia jiografia ya Dodoma mjini hadi Chamwino ni ngumu kwa ugeni wakimataifa hata kuwahifadhi hotelini.

Tatu,Serikali ya Zanzibar wamekuwa watumwa kusafiri hadi Dodoma kila wakati.

Ulisema tushauri.
B
Rais Baki Dar
Makamu abaki Chamwino.
awe anakupokea ukienda

Ofisi za Chamwino zikiisha na makazi yako utaamua sasa.

Wananchi tunaelewa tu makao makuu yapo Dodoma hata ukiwa Magogoni.

jana Marehe m Mfugale walimuaga Dodoma ye hakue nda kuaga kasubiri leo kaja kuagia Dar kwaiyo Mama katoka Dodoma ulikotoka mwili kaja Dar kuaaga mwili.
Mhacheni apandishe uchumi kwanza
 
Kwa vile ninampenda sana Rais wangu. Napenda niwashauri hili watu wake wa karibu.

Rais amekuwa haeleweki ni wapi hasa makazi yake. Safari za Dar - Dom zimekuwa nyingi sana. Na anapaa angani, ina month anaweza fanya kama mara nne mpaka saba. This is riskier...ni hatari kwa usalama wake.

Vyombo vinavyopaa angani hakika si salama sana, hasa ukizingatia ni Rais.

USHAURI
Mama chagua sehemu moja ya kukaa. Nafahamu unaandamwa na 'guilty conscious' kwamba unatimiza legacy...ili tu eti kuwaridhisha CCM, eti 'legacy' so unalazimika kuwa Dom mara kwa mara.

Sisi ndio wananchi chagua kukaa panapo kupendeza na tutabariki. Kama ni Dar basi baki Dar...kama ni Dom basi baki Dom, kwa usalama wako.

Midege hii si ya kuamini sana Mama yetu. For your safety.

Nimemaliza.
Yaani mbumbumbu unaongelea Usalama wa Rais. Unadhani analindwa kama unavyolindana na mchepuko wako? Kuna watu wametumia maisha yao yote kujifunza kumlinda na hakuna cha kumdhuru
 
Back
Top Bottom