EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Anaogopa kivuli cha Jiwe pale ChamwinoKwa vile ninampenda sana Rais wangu. Napenda niwashauri hili watu wake wa karibu.
Rais amekuwa haeleweki ni wapi hasa makazi yake. Safari za Dar - Dom zimekuwa nyingi sana. Na anapaa angani, ina month anaweza fanya kama mara nne mpaka saba. This is riskier...ni hatari kwa usalama wake.
Vyombo vinavyopaa angani hakika si salama sana, hasa ukizingatia ni Rais.
USHAURI...
Mama chagua sehemu moja ya kukaa. Nafaham unaandamwa na 'guilty conscious' kwamba unatimiza legacy...ili tu eti kuwaridhisha CCM, eti 'legacy' so unalazimika kuwa Dom mara kwa mara.
Sisi ndio wananchi chagua kukaa panapo kupendeza na tutabariki. Kama ni Dar basi baki Dar...kama ni Dom basi baki Dom, kwa usalama wako.
Midege hii si ya kuamini sana Mama yetu. For your safety.
Nimemaliza.
So hana mpango wa kuishi Dodoma, matukio ya kitafifa yanamlazimisha