Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Hizo safari za kila uchwao za Kikwete toka alipo staafu u Rais hugharamiwa na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Kikwete.Hizo safari za kila uchwao za Kikwete toka alipo staafu u Rais hugharamiwa na nani?
Kikwete yupo kwenye mashirika mbalimbali ya kijamii na pia mara nyingine Serikali humtuma kuiwakilisha kwenye makongamano na dhifa mbalimbali So safari zake hugaramiwa na serikali au Tasisi anazoziwakilisha.Akisafiri for medical checkup - Serikali kwa mujibu wa Katiba na Sheria za nchi wanamgaramia yeye na watu wake muhimu kumsindikiza akiwemo Bodguard wakeHizo safari za kila uchwao za Kikwete toka alipo staafu u Rais hugharamiwa na nani?
na ki - NGO chake cha kimataifa kuhusu masuala ya elimu. washua wenzake wanammwagia pesa tuHizo safari za kila uchwao za Kikwete toka alipo staafu u Rais hugharamiwa na nani?
[emoji38][emoji38][emoji38]Hizo safari za kila uchwao za Kikwete toka alipo staafu u Rais hugharamiwa na nani?
kama hayapo je ?Majibu yako kwenye katiba.
TozoHizo safari za kila uchwao za Kikwete toka alipo staafu u Rais hugharamiwa na nani?
Umekosea pakubwa sanana ki - NGO chake cha kimataifa kuhusu masuala ya elimu. washua wenzake wanammwagia pesa tu
kivipi mkuu au sarcasm ya "ki-NGO"? nisamehe. Lakini ukweli ni huo ana ngo yake ya kimataifa inamtunza vizuri tu labda kama iko attached na serikali yetuUmekosea pakubwa sana
Hazina kuu mzee watu wanagawana tu pesa za umma maana wananchi wenyewe ni wajingaHizo safari za kila uchwao za Kikwete toka alipo staafu u Rais hugharamiwa na nani?
Kikubwa unatakiwa kufahamu kwamba kikwete sio ngumbaru kama wewe..Hizo safari za kila uchwao za Kikwete toka alipo staafu u Rais hugharamiwa na nani?