Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Yaani huu upumbavu ni Africa tu. Mwaka jana nilikuwa bara la weupe nilienjoy sana. Mteja anathaminika sana mkuu kwenye huduma ambayo anatumia pesa yake. Ila hii mijitu myeusi ni laana mno.. Inajali kunufaika kwa huduma za kijinga. Utadhani unahudumiwa bureVyakula vibaya halafu bei ndefu, wauzaji wanajua tu kuwa lazima abiria watanunua.
Abiria wengine kwao kusafiri ni kama tafrija, bei ya vyakula hawazingatii wanachofurahia ni kula tu wakiwa safarini kwao burudani
Ukiona unapigwa nunua biskuti na soda kabla haujaanza safari
Ilikufa baada ya Mwenyewe Kufa, ukifanya biashara kwa kutumia majini ukifa nayo inakufaComfort Kitonga ilikufa?😂😂
Kweli hiyo njia Pazito sana! Na ina magari mengi ya Transit ila mabadiliko zero!Hata hizi zilizopo mkuu huduma mbovu halafu gharama kubwa. Yaani wanapata faida kubwa kwa kutoa huduma za hovyo
Mtihani sana mkuuKweli hiyo njia Pazito sana! Na ina magari mengi ya Transit ila mabadiliko zero!
Unayo hoja, hebu ngoja tuone, Japo Wakijua hiyo Hotel ni yangu wataanza hujuma ili abiria wasiletwe hapo au Mabasi yapitilizeAibu sana!
Kwanini matajiri msiwekeze hii njia?
Yaani huu upumbavu ni Africa tu. Mwaka jana nilikuwa bara la weupe nilienjoy sana. Mteja anathaminika sana mkuu kwenye huduma ambayo anatumia pesa yake. Ila hii mijitu myeusi ni laana mno.. Inajali kunufaika kwa huduma za kijinga. Utadhani unahudumiwa bure
Wanamikate yao ya kikinga wanasafiri nayo ya brown hv ukila mmoja njia nzima nikunywa maji ya njombe chem chem 😂 au kituloHata wakiwekeza hakuna wateja,,,, abiria wa huko wanatoka na viporo vyao kabisa, nani akale chips kuku/samaki kwa 10k ? Au nyama choma na vindiz kadhaa atoe 10k ? Miaka flani nikiwa advance nilikuwa nasafiri sana kwenye hio kanda, unashangaa umekaa na mtu anatofoa kontena lake lina makande anaanza kula,,, mpaka maji ya kunywa wanatoka nayo home
Wahudumu wenyewe hasa hivi vidada vislay kwini nyodo kama niniHuyo ndio mtu mweusi wali maharage uliopoa sh 3000 chips kavu kijiko kikubwa kimoja buku 4
Hivi wanakuwa na mikataba na hizi sehemu zenye huduma za misosi, sio?Inategemea unasafiri na basi gani.
Mkuu huwaga unarudi kweli???Nitarudi
KAZI ni kipimo cha utu
Mwenda kwao hajikwai.Msafiri kafiri
Wa kaskazini siyo wenzenu!Mtu unatoka dar hadi Iringa hamna hotel ya maana yenye chakula cha maana shida ni nini wakuu au ni ubahili wa watu wa hii mikoa?
Mbona wenzetu njia ya kaskazini kuna hotel na vyakula vya maana, nyama choma kila mahali sie wa nyanda za juu tunafeli wapi?
Duh!Wa kaskazini siyo wenzenu!
Bismillah Ilula?Ilikufa kitambo
Al Jazeera Ruaha Mbuyuni nako hakuna mpya
Bismillah Ilula?Ilikufa baada ya Mwenyewe Kufa, ukifanya biashara kwa kutumia majini ukifa nayo inakufa
Kwisha habari, japo bado ipo lakini hata kukarabati vyoo wameshindwaBismillah Ilula?
TANZANIA nzima huduma bora zipo barabara ya kaskazini:Mtu unatoka dar hadi Iringa hamna hotel ya maana yenye chakula cha maana shida ni nini wakuu au ni ubahili wa watu wa hii mikoa?
Mbona wenzetu njia ya kaskazini kuna hotel na vyakula vya maana, nyama choma kila mahali sie wa nyanda za juu tunafeli wapi?