Safari za mabasi kwenda mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya ni za hovyo sana

Safari za mabasi kwenda mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya ni za hovyo sana

Vyakula vibaya halafu bei ndefu, wauzaji wanajua tu kuwa lazima abiria watanunua.

Abiria wengine kwao kusafiri ni kama tafrija, bei ya vyakula hawazingatii wanachofurahia ni kula tu wakiwa safarini kwao burudani

Ukiona unapigwa nunua biskuti na soda kabla haujaanza safari
​
Yaani huu upumbavu ni Africa tu. Mwaka jana nilikuwa bara la weupe nilienjoy sana. Mteja anathaminika sana mkuu kwenye huduma ambayo anatumia pesa yake. Ila hii mijitu myeusi ni laana mno.. Inajali kunufaika kwa huduma za kijinga. Utadhani unahudumiwa bure
 
Huyo ndio mtu mweusi wali maharage uliopoa sh 3000 chips kavu kijiko kikubwa kimoja buku 4​
 
Hata wakiwekeza hakuna wateja,,,, abiria wa huko wanatoka na viporo vyao kabisa, nani akale chips kuku/samaki kwa 10k ? Au nyama choma na vindiz kadhaa atoe 10k ? Miaka flani nikiwa advance nilikuwa nasafiri sana kwenye hio kanda, unashangaa umekaa na mtu anatofoa kontena lake lina makande anaanza kula,,, mpaka maji ya kunywa wanatoka nayo home
Wanamikate yao ya kikinga wanasafiri nayo ya brown hv ukila mmoja njia nzima nikunywa maji ya njombe chem chem 😂 au kitulo
 
Walikuwepo kina Comfort wakafilisika.. Shida ya njia hiyo watu wanaogopa kulishwa madogi. Halafu kuna wakinga huko.. Wabahili balaa .
 
Kuna Hotel ya Kilimanjaro mbele ya kitonga pale vp hamna jipya pia?
 
Mtu unatoka dar hadi Iringa hamna hotel ya maana yenye chakula cha maana shida ni nini wakuu au ni ubahili wa watu wa hii mikoa?

Mbona wenzetu njia ya kaskazini kuna hotel na vyakula vya maana, nyama choma kila mahali sie wa nyanda za juu tunafeli wapi?
Wa kaskazini siyo wenzenu!
 
Ukweli wasafiri wanateseka sana, ukiwa mkweli Kuna chalula gani cha maana pale Singida. Wali nyama mbili 6000/? Kwa nchi hii wasafiri ni kama mateka ndani ya nchi yao. Usipokula shauri yako.
 
Mtu unatoka dar hadi Iringa hamna hotel ya maana yenye chakula cha maana shida ni nini wakuu au ni ubahili wa watu wa hii mikoa?

Mbona wenzetu njia ya kaskazini kuna hotel na vyakula vya maana, nyama choma kila mahali sie wa nyanda za juu tunafeli wapi?
TANZANIA nzima huduma bora zipo barabara ya kaskazini:
1. Hotel bora zaidi
2. Mabasi bora zaidi
 
Back
Top Bottom