Jason Bourne
JF-Expert Member
- May 11, 2011
- 200
- 438
- Thread starter

- #221
Nalifanyia kazi mkuu!
nikifanya hivi nimekosea???????????https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon8.pngMheshimiwa wa magogoni alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!

Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005!
Mpaka leo tarehe 23/8/2011 tayari amesha safiri safari 315 tangu aingie magogoni octoba mwaka 2005!
Hii ni rekodi ya kipekee duniani ambayo watz tunatakiwa kujivunia na kutembea kifua mbele maatako nyuma!!!
nahisi kabla ya kumaliza hii ngwe ilyobaki huenda anataka kufika mpaka visiwa vya Tonga,Vanuatu,New papua Guinea,Somoa,Sumatra,Guyana,Fiji n.k.
Rais wetu inabidi ajifakirie mara mbili sasa kuhusu safari zake.Thats too much!
Elimu bila maadili ni sawasawa na mto bila kingo.]:hail:

kaka umeniogopesha umetumia hasira sana,embu jenga hoja tukuelewe maana hoja hujibiwa kwa hoja.

Jamani msimlaumu sana Mr. Presidar, mmesahau kuwa ni ******!!! Asili ya ****** ngoma, ipigwe kisiju yupo, bagamoyo yupo, rufiji yupo kisarawe kaenda, kwa ufupi asili yao kila baada ya mavuno ni ngoma na utalii. Kwa kuwa yeye kila siku ni mavuno lazima kila siku itakuwa ni safari tu.
Mkuu Jason, Heshima kwako. Endelea kutupatia habari.

Dah mbavu sina jamani heeeeee!!
Anaenda kututafutia wawekezaji unataka akae tu kumwangalia mama salma, bila safari hizzo tungekufa njaa ebo mwacheni raisi wetu.

Kwa idadi sina shaka umeunganisha na zile safari za Bariadi, Tandahimba, Kibondo, Masasi, Kilosa, Iramba, Nachingwea na kwingineko. Sidhani kama ni za nje ya nchi pekee.