Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Tujue alitumia shilingi ngapi za walipa kodi wa tz pia tungemlinganisha na maraisi waliopita ili tujue nani alisafiri sana?
big up!Jamani msimlaumu sana Mr. Presidar, mmesahau kuwa ni ******!!! Asili ya ****** ngoma, ipigwe kisiju yupo, bagamoyo yupo, rufiji yupo kisarawe kaenda, kwa ufupi asili yao kila baada ya mavuno ni ngoma na utalii. Kwa kuwa yeye kila siku ni mavuno lazima kila siku itakuwa ni safari tu.
Na First lady juzi tu alikuwa Comoro hebu ziunganisheni safari zao then tuone yupi ni msafiri zaidi...tehtehteh
big up!
wajameni naomba kuuliza..na kama invisible unanisoma ..tujibu sote hapa jamvini!! kwanini mna censor neno kama m.k.w.e.re? kwani m.k.w.e.r.e siyo kabila ? mbona mtu anaweza kusema msukuma, mchaga. mkala, mnyamwezi n.k ! kulikoni m.k.w.e.r.e? kwani ni tusi?? mi naona kama ni udikteta kuzuia watu kusema baadhi ya makabila!
Hebu fikiri ikiwa kila safari kwa uchache imetumia mil 15x313=4,695,000,000/-
Anaenda kuhemea vibaba..315! Huyu jamaa anatisha aisee. Je watanzania tunafaidika nini na safari zake?

Tujue alitumia shilingi ngapi za walipa kodi wa tz pia tungemlinganisha na maraisi waliopita ili tujue nani alisafiri sana?

315! Huyu jamaa anatisha aisee. Je watanzania tunafaidika nini na safari zake?

Hivi huyu jamaa tutamkumbuka kwa lipi? kwa upande wangu tumkumke kwa safari na roho ya huruma kwa Mafisadi , na kutuachia nchi yetu na limbi la umasikini na giza nene.

Nguvu zaid ,Ari zaid,Kasi zaid=zaid ya nusu karne ya umasikini zaid
haiyumkini ashatafuta hifadhi baada ya uchaguzi 2015!Mpaka leo tarehe 23/8/2011 tayari amesha safiri safari 315 tangu aingie magogoni octoba mwaka 2005!

315! Huyu jamaa anatisha aisee. Je watanzania tunafaidika nini na safari zake?
kwa hesabu za haraka haraka ukisema kila safari haikuchukua chini ya siku 3 katumia miaka zaidi ya miwili akiwa nje ya nchi,theluthi moja ya Urais wake.Mheshimiwa wa magogoni alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!

Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005!

Mpaka leo tarehe 23/8/2011 tayari amesha safiri safari 315 tangu aingie magogoni octoba mwaka 2005!

Hii ni rekodi ya kipekee duniani ambayo watz tunatakiwa kujivunia na kutembea kifua mbele maatako nyuma!!!
anawatafutia wafadhili jamni na wawekezaji mnatakiwa kuwa na shukraani nyie watanzania,,,Mheshimiwa wa magogoni alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!

Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005!

Mpaka leo tarehe 23/8/2011 tayari amesha safiri safari 315 tangu aingie magogoni octoba mwaka 2005!

Hii ni rekodi ya kipekee duniani ambayo watz tunatakiwa kujivunia na kutembea kifua mbele maatako nyuma!!!

kaka milioni 15 ni ndogo sana inaweza ikawa zaidi ya hapo maana kama ni ndege kwa first class tiketi moja tu inaweza ikawa zaidi ya USD 5000