Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Hivi anabajeti ya usafiri au antumia zile pesa (mabilioni) ya matengenezo ya Ikulu? Lakini si na wapinzani (cheyo na wenzake) wanakuwepo kwenye msafara?

me ananikera kitu kimoja tu hawezi kustrike dili za maana kwa ajili ya nchi'dili zote tunazoziona ni za ma man BEN ndio kapiga hzi dili kuanzia mabarabara mpaka TRA BEN ndio dili zake ye anaondoka lakin hakuna dili anazoacha zaidi ya misala kibao'..aaaaaah jamaa katokota hakuna mtu aliyekwenda jela kaenda liyumba peke yake hafu mihela wamepiga watu kibao'

Hivi anabajeti ya usafiri au antumia zile pesa (mabilioni) ya matengenezo ya Ikulu? Lakini si na wapinzani (cheyo na wenzake) wanakuwepo kwenye msafara?

Unauliza Majibu!

By the way Kama kuna Rais Duniani anayesafiri sana nchi za nje basi ni Erdogan wa Turky. Katika mwe wa 8 na hizi wiki mbili za mwezi wa 9 ametembelea nchi 10. Hapo ndio utajua kuwa Safari kwa Rais si Dhambi pale inapobidi. Tatizo sio mara ngapi ndege imeruka juu, la msingi hapa ni kilichopatikana kutokana na safari hiyo.

Bahati mbaya neno 'long term' kwa WANACHADEMA halipo. Wao wanachojua ni fanya biashara asubuhi, hesabu faida jioni. Mnanikumbusha maneno na Augustino Mrema akiwa moshi, mbona juhudi zako hazileti matunda. Aliwajibu 'Siasa sio kama biashara unauza asubuhi na jioni unahesabu faida' Siasa inahitaji uvumilivu wa miaka na miaka, mfano ni Mzee Mandela, anakula Faida baada ya miaka 27. Wachaga wenzake hawakumuelewa kwani baada ya kushindwa Mrema, mahesabu yao jioni nayo hayakuwa yanakwenda vizuri. Leo Mrema kachuja na CHADEMA imechukua nafasi yake, lakini wao wanataka kama wanachama wao, kuwa faida ivunwe jioni. Na kwa maana hiyo wanalazimisha Safari za Rais zilete faida jioni-MAKUBWA. Sasa nimeamini kuwa Mh Slaa hakuleta Faida jioni ktk chaguzi kuu ilyopita hivyo hana nafasi tena. haa .--ha--ha-ha-ha-haaaaaa.

@ ZAWADI NGODA ,Na ndiyo maana hili eneo limekuwepo kufumbuwa watu macho ambao hawaoni kama wewe,Hemu niambie tangu 2005 mpaka sasa niambie mafanikio ambayo yapo unayaona zaidi ya kujulikana kama waombaji wakubwa wa misaada na wakati tumekalia utajiri ambao unaliwa kijanja janja na wenye uwezo. Halafu watu wanapo ongelea safari wanalinganisha gharama na hali halisi ya mazingira ya nchi kiuchumi .. Wake up tutakwisha

Unauliza Majibu!

By the way Kama kuna Rais Duniani anayesafiri sana nchi za nje basi ni Erdogan wa Turky. Katika mwe wa 8 na hizi wiki mbili za mwezi wa 9 ametembelea nchi 10. Hapo ndio utajua kuwa Safari kwa Rais si Dhambi pale inapobidi. Tatizo sio mara ngapi ndege imeruka juu, la msingi hapa ni kilichopatikana kutokana na safari hiyo.

Bahati mbaya neno 'long term' kwa WANACHADEMA halipo. Wao wanachojua ni fanya biashara asubuhi, hesabu faida jioni. Mnanikumbusha maneno na Augustino Mrema akiwa moshi, mbona juhudi zako hazileti matunda. Aliwajibu 'Siasa sio kama biashara unauza asubuhi na jioni unahesabu faida' Siasa inahitaji uvumilivu wa miaka na miaka, mfano ni Mzee Mandela, anakula Faida baada ya miaka 27.  Wachaga wenzake hawakumuelewa kwani baada ya kushindwa Mrema, mahesabu yao jioni nayo hayakuwa yanakwenda vizuri. Leo Mrema kachuja na CHADEMA imechukua nafasi yake, lakini wao wanataka kama wanachama wao, kuwa faida ivunwe jioni. Na kwa maana hiyo wanalazimisha Safari za Rais zilete faida jioni-MAKUBWA. Sasa nimeamini kuwa Mh Slaa hakuleta Faida jioni ktk chaguzi kuu ilyopita hivyo hana nafasi tena. haa .--ha--ha-ha-ha-haaaaaa.

Ndg,unafahamu kuwa huwezi fanana na m2 mwingine huyo wa Uturuki ha2na haja nae swali ni kwamba mara ngapi prezda katembelea ughaibuni? Kwa lengo gani? Je utawala huu ndio wenye sababu safari nying au upapet.

Safari ya 317 kwa rais wangu kipenzi!
ameenda marekani katika ufunguzi wa UNGA.vilevile atashiriki katika sherehe za kuazimisha maendeo yaliyofikiwa na nchi zinazo endelea.

Safari njema bwana Vasco Dagama, ukipewa suti pair 2 nipatie moja.

Mi nshadata na huyu kiongozi wa hili taifa la tanzagiza muhimu ni kumpiga biti na yeye adate maandamano hayasaidii.

Mi nshadata na huyu kiongozi wa hili taifa la tanzagiza muhimu ni kumpiga biti na yeye adate maandamano hayasaidii.

Kumbe mmejua uwa maandamano hayasaidii. Haya nyie igeni tu bila kujua mnaandamana kwa ajili gani. Bongo inautamaduni wa kutatua matatizo yake bila maandamano ya kuuana. Mkipeleka watu barabarani yatayowakuta mimi sipo.

Mnaowaona wanauana si wajinga na si kweli kwamba ni utamaduni wao. Dhuluma inapozd ni mabadiliko yakashndkana watu huingia barabarani,na kama wewe hutakuwepo ktk kudai mabadiliko hatukushangai kwani mpo wengi msioona mbele

Muheshimiwa hendsome boy wetu,mtoto wa kibongo nilazima asafiri maana ndo za mamen ,wanitakaje men. Huyu jamaa namatumain atamalizia na kwenda mwezini kabla ya 2015 kwani atakua kashamaliza dunia nzima wabongo tujivunie kwa hilo .

tangu niishi duniani humu huyu mkuu ameweka historia kwani ktk ulimwengu huu na kwa nchi ambayo watu wake wamechoka na maisha kama sukari juu nk yeye anatumia pesa za wachovu hawa tena bila hofu nadhani ni vema 1day atuambie kwa nini iwe hivyo? huyu jamaa ni chori.

hiyo budget ni safari ya ndani au ya nje ya nchi?
sidhani aende marekani na msafara wake wiki moja atumie just 15m!!!

Hebu fikiri ikiwa kila safari kwa uchache imetumia mil 15x313=4,695,000,000/-

SAMMOSSES:We must encourage him to sign into the Guinness book of record as a new Sindbad (the seamen) of the century!we suffered a lot with the leadership vacuum,so its our time like Bob Marley quotes "time will tell" and it only the illiterate will chase the wisdom.we cant chase the wind,but we should blamed ourselves through ballot paper which we couldn't used it properly.But its our time to participate for making sure we will take them to the backbench.We fed up with all circumstance of ruling party. KIGUMU CHAMA CHA MAGAMBA

Back
Top Bottom