Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Ndugu watz nitakuwa naifanyia updates kila rais wetu kipenzi mkweerezzzz akienda kula bata ughaibuni!!!
Zingatieni rais huyu kipenzi tutamtunuku cheti cha kutambua mchango wake kwa kuifilisi tz!!!

anasafisha macho na kutaka kuujua ulimwengu

kaka umeniogopesha umetumia hasira sana,embu jenga hoja tukuelewe maana hoja hujibiwa kwa hoja.

Nalifanyia kazi mkuu!

hayo mawazo yenu mazuri lakini better mkafanya comparative analysis kwa viongozi wa africa mashariki. badala tu yakusema kama mazoea mwisho watu watatuchoka. yaani scientific analysis.

Mheshimiwa wa magogoni alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!

Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005!

Mpaka leo tarehe 23/8/2011 tayari amesha safiri safari 315 tangu aingie magogoni octoba mwaka 2005!
Hii ni rekodi ya kipekee duniani ambayo watz tunatakiwa kujivunia na kutembea kifua mbele maatako nyuma!!!
nikifanya hivi nimekosea???????????https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon8.png
https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon9.png

nahisi kabla ya kumaliza hii ngwe ilyobaki huenda anataka kufika mpaka visiwa vya Tonga,Vanuatu,New papua Guinea,Somoa,Sumatra,Guyana,Fiji n.k.
Rais wetu inabidi ajifakirie mara mbili sasa kuhusu safari zake.Thats too much!

Anaenda kututafutia wawekezaji unataka akae tu kumwangalia mama salma, bila safari hizzo tungekufa njaa ebo mwacheni raisi wetu.

Anaenda kututafutia wawekezaji unataka akae tu kumwangalia mama salma, bila safari hizzo tungekufa njaa ebo mwacheni raisi wetu.
Elimu bila maadili ni sawasawa na mto bila kingo.]:hail:

Ameshndwa kuweka Historia ya kuwa kiongozi bora, ameamua kuwa kiongozi aliyefanya safari nying.
Hongera mkuu!!!!

Anatuwakilisha sis tulioshndwa kwenda

kaka umeniogopesha umetumia hasira sana,embu jenga hoja tukuelewe maana hoja hujibiwa kwa hoja.

Usiope, hoja gani unayoitaka? hapa nimetoa taarifa yenye takwimu mjumuisho, na takwimu mchanganuo itafuata sambamba na utoaji certificate kwa ******!!

Jamani msimlaumu sana Mr. Presidar, mmesahau kuwa ni ******!!! Asili ya ****** ngoma, ipigwe kisiju yupo, bagamoyo yupo, rufiji yupo kisarawe kaenda, kwa ufupi asili yao kila baada ya mavuno ni ngoma na utalii. Kwa kuwa yeye kila siku ni mavuno lazima kila siku itakuwa ni safari tu.

Dah mbavu sina jamani heeeeee!!

Kwa idadi sina shaka umeunganisha na zile safari za Bariadi, Tandahimba, Kibondo, Masasi, Kilosa, Iramba, Nachingwea na kwingineko. Sidhani kama ni za nje ya nchi pekee.

Anaenda kututafutia wawekezaji unataka akae tu kumwangalia mama salma, bila safari hizzo tungekufa njaa ebo mwacheni raisi wetu.

Mbona pamoja na hizo ziara bado watz tunakufa njaa. Halafu fanya tathmini kama thinker sio kusema tu kwa kuwa umemsikia Chiligati anasema. Jiulize gharama zinazotumika kwa safari hizo ni kiasi gani na ni faida kiasi gani tunapata kwa hao "wawekezaji" ambao analazimika kuwafuata kuwabembeleza. Kwanza kitendo cha kuwafuata kuwabembeleza ndo maana wanakuja na masharti kibao ya kuhakikisha wanakaa miaka 10 bila kulipa kodi. Jiulize tena, hivi sisi watz ndo tuna njaa kubwa ya hawa wawekezaji? Halafu nani kakwambia kwamba wawekezaji ni lazima wawe wazungu? Yeye ni waziri wa Biashara/uwekezaji/mambo ya nje wa nchi yetu?

Akitaka kutembea, ajivue urais arudi kwenye wizara yake ya mambo ya nje atembee vizuri. Mbona alitembea sana akiwa mambo ya nnje na hakuna aliyehoji. Let us think, tuache siasa! Kama anakimbia mgao wa umeme atuambie.

Kwa idadi sina shaka umeunganisha na zile safari za Bariadi, Tandahimba, Kibondo, Masasi, Kilosa, Iramba, Nachingwea na kwingineko. Sidhani kama ni za nje ya nchi pekee.

Takwimu nilizozitoa ni za safari za nje ya nchi tu!!

safari ambazo ni za wasaidizi wake,anafanya yeye eti kwa kisingizio cha kuongeza uzito zaidi.marais wa nchi zingine za kiafrica mbona hawazururi namna hii?

Back
Top Bottom