Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UPDATES
Safari ya 318 ya rais mwenye maajabu duniani!
JK anaondoka leo kuelekea Australia kwenye mkutano wa jumuiya ya madola...
whahebu fikiri ikiwa kila safari kwa uchache imetumia mil 15x313=4,695,000,000/-
Mheshimiwa wa magogoni alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!
Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005
UPDATES
Mpaka leo tarehe 23/8/2011 tayari amesha safiri safari 315 tangu aingie magogoni octoba mwaka 2005
Hii ni rekodi ya kipekee duniani ambayo watz tunatakiwa kujivunia na kutembea kifua mbele maatako nyuma
UPDATES
Kesho tar 9/9/2011 rais atasafiri kuelekea Kenya kwa ziara ya kikazi
Hiyo ni safari ya 316 tangu rais aingie madarakani mwaka 2005!
UPDATES:
Safari ya 317 kwa rais wangu kipenzi!
ameenda marekani katika ufunguzi wa UNGA.vilevile atashiriki katika sherehe za kuazimisha maendeo yaliyofikiwa na nchi zinazo endelea.
wakati huo huo waziri mkuu pinda ametangaza kuwa serikali inakusudia kuongeza bei ya umeme kwa sababu tanesco inajiendesha kwa
hasara.mia
UPDATES
Safari ya 318 ya rais mwenye maajabu duniani!
JK anaondoka leo kuelekea Australia kwenye mkutano wa jumuiya ya madola...
Acha utoto weweeee!! mimi ni mtumishi wa Umma, kwa mtumishi wa serikali hata kwa ngazi ya kawaida anatumia mtu mmoja zaidi ya hiyo pesa given anaenda nje ya nchi. Hivi unajua Rais anapoenda nje ya nchi Serikali inalazimika kusafirisha zaidi ya watu 100 kwenda nchi husika wakiwemo watu wa usalama wa Taifa waandishi wa habari, wapiga picha(Kama Issa Michuzi), masekeretali(PS) wa watu anaoongozana nao nakadhalika, tena kuna tetesi kwamba watu wa usalama ndo wanakuwa wengi na wanatangulia kwa mda mrefu kidogo ili kuhakikisha usalama wa rais maana akiuawa Watanzania watalia sana kupoteza kipenzi chaoHebu fikiri ikiwa kila safari kwa uchache imetumia mil 15x313=4,695,000,000/-
Jamani eeeh,mie siamini,Rais wa TZ au wa nchi nyingine?Jumla ya safari ni 318, kuna mtu anaweza kutuweka wazi jumla ya siku rais wetu kipenzi amekua nje ya nchi? Mathalani kama safari moja ni siku 4x318=1272, 1272÷365= 3.48~ 3.5!! Hii inamaanisha kwa miaka 6 ya kutawala kwake, miaka 3 1/2 amekuwa nje ya nchi, na miaka 2 1/2 ndiyo aliyoitumia ndani ya nchi...
Maana ya thread hii hailaumu kusafiri kwa rais wetu, bali uwingi wa safari na matokeo ya safari hizo, huku wimbi la ugumu wa maisha liki wakabili wananchi! Usisahau kauli zake za kejeri!Unawezaje kusafiri kwenda nchi nyingine bila kualikwa!!!, nyie mmeshindwa kusafiri kwa sababu hamjaalikwa na siku mkialikwa mtasafiri sana tu. Toeni sababu za msingi za kumlaumu huyu mkuu kusafiri.
Ni huyohuyo ulie mwamini na kumpa nchi.Jamani eeeh,mie siamini,Rais wa TZ au wa nchi nyingine?
..........teh teh teh , nani! Riz, ataenda sauz wee hujui eehunajua huyo bwana mdogo riz1 ---- anaenda kweli kwa speed sana ni mjinga sana aulize watoto wa gadaffi wako wapi.... Pesa za wananchi sio zake.... Yeye atanue tuu lakini ......freedom is coming very soon and he will have to face the music sijui atenda wapi na kua mgeni wa nani ??? Maybe mgeni wa watoto wa mafisadi wenzake. Wakaa wakifikiria hilo