Oneya Fuko
Member
- Apr 7, 2011
- 24
- 2
Kazi kweli kweli.
Hivi nyinyi hamjui kuwa dokta????? jk ana hobi ya kusafiri?
Hivi nyinyi hamjui kuwa dokta????? jk ana hobi ya kusafiri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu hapa naomba kujua, hizo 313 ni idadi ya safari ama idadi ya siku ambazo amekuwa nje ya nchi?
Kama ni idadi ya safari basi anafaa kuingizwa kwenye Guiness Book of Records na tutumie hilo kama kigezo mojawapo cha kuvutia watalii e.g 'Welcome to Tanzania the land of Kilimanjaro and home to the most traveling President'
Nalifanyia kazi mkuu!
Mheshimiwa wa magogoni alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!
Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005
UPDATES
Mpaka leo tarehe 23/8/2011 tayari amesha safiri safari 315 tangu aingie magogoni octoba mwaka 2005
Hii ni rekodi ya kipekee duniani ambayo watz tunatakiwa kujivunia na kutembea kifua mbele maatako nyuma
UPDATES
Kesho tar 9/9/2011 rais atasafiri kuelekea Kenya kwa ziara ya kikazi
Hiyo ni safari ya 316 tangu rais aingie madarakani mwaka 2005!
UPDATES:
Safari ya 317 kwa rais wangu kipenzi!
ameenda marekani katika ufunguzi wa UNGA.vilevile atashiriki katika sherehe za kuazimisha maendeo yaliyofikiwa na nchi zinazo endelea.
wakati huo huo waziri mkuu pinda ametangaza kuwa serikali inakusudia kuongeza bei ya umeme kwa sababu tanesco inajiendesha kwa
hasara.mia
UPDATES
Safari ya 318 ya rais mwenye maajabu duniani!
JK anaondoka leo kuelekea Australia kwenye mkutano wa jumuiya ya madola...
Unapoamua 'kupika' kutusongea ugali, inabidi utupipikie na mboga zake. Usitulishe ugali mkavu eeenh? Tuwekee hapa safari zake zote sio idadi tu. Tuambie alienda wapi? Na kina nani? Alionana na nani? Waliongea nini? Alilala wapi? Alikula nini na nani? .................nk.Mheshimiwa wa magogoni alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!