Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Yaani mkutano unaanza Ijumaa mwisho wa wiki yeye ameondoka tangu Jumatatu mwanzo mwa wiki..haya ni maajabu ya dunia!!
Australia kubwa lazima akajipoteze kuanzia sydney, melbon ndo amalizie perth bwana labda ataonana na wabeba box huko
 
Duuuhhh kumbe kuwa rais raaaha eeh..
basi na mi 2025 ntagombea nami niwe nachafiri chafiri..dah napiga picha na 50 cent,obama,kaka, na watu maarufu maarufu..mi tena ntamtafuta na lady gaga...hahahaha
 
Tafadhali naomba utujuze pia amekwisha fanya safari ngapi ndani ya nchi
 
kwa muda mwingi watu wa kada mbalimbali wamekuwa wakilalamika juu ya Safari za Rais J.K kuwa hazina tija kwa nchi, nini maoni yenu wana Jamii
 
Kwangu mimi naona kati ya ma-rais wa tanzania waliofanya safari zenye tija kwa Tanzania, JK ni wa kwanza. Miradi mingi ya barabara za lami, Miradi kupiga vita ugonjwa wa malaria, Usuluhishi wa migogoro iiyomo miongoni mwa nchi za afrika kama Kenya, Zimbabwe, Misamaha ya Madeni kutoka nchi za Magaribi. kuongezeka kwa wawekezaji wa nje n.k . Hayo ni baadhi tu mafanikio yaliyotokana na safari za JK nje. Mnaweza kuongezea mafanikio mengine
 
You are right broo. Jk kafanya hata tumeonekana angalau kwenye medani ya michezo. safari zake ndiyo zimefanya timu kubwa kama zile za Pembe ya Pwani, Brazil kuja nchini. Huyu jamaa unajua watu wanamuonea wivu tu. Kweli nabii hakubaliki home. sikilizia watanzania waishio Australia walivyomwagia sifa kwa uwezo wake wa kukuza uchumi. Tanzania kati ya nchi kumi ambazo uchumi wake unaonekana kukua.
 
hazina manufaaaaa kabisa.hazna manufaa kwasababu ANAONGOZANA NA DELEGATE YA WATU WENGI MNO NA HAO WATU WANALIPWA ALLOWANCES.;napendekeza apunguze zaidi msafara wake na kama ikiwezekana apunguze hzo safari awe anawatuma mawaziri wake;mbona yye ndo alkuwa mwakilishi wa mkapa hasa kwenye international issues na kufanya hivyo gharama ztapungua
 
Kwangu mimi naona kati ya ma-rais wa tanzania waliofanya safari zenye tija kwa Tanzania, JK ni wa kwanza. Miradi mingi ya barabara za lami, Miradi kupiga vita ugonjwa wa malaria, Usuluhishi wa migogoro iiyomo miongoni mwa nchi za afrika kama Kenya, Zimbabwe, Misamaha ya Madeni kutoka nchi za Magaribi. kuongezeka kwa wawekezaji wa nje n.k . Hayo ni baadhi tu mafanikio yaliyotokana na safari za JK nje. Mnaweza kuongezea mafanikio mengine

wewe hutupendi sisi walala hoi;unaishi tanzania kweli?????????????????????????????
 
huo uchumi unokuwa ni wa nchi ipi?hali ya maisha ya wananchi ikoje? thamani ya Shilingi ya nchi anayoiongoza J K ikoje kulinganisha na fedha za nchi nyingine{(Purchasing Power) linganisha exchange rate ya mwaka 2005 na mwaka 2011 TSHS/Major currencies} mwaka 2005 nilikuwa napata $727.27,mwaka 2011 napata $459.77 ambayo ni sawa na punguzo la $267.50.Hii inamaanisha kuwa purchasing power imepungua kwa 36.78%.

safari za J K hazina tija
 
Anapochoshwa na wanawake wa kitanzania huamua kuruka majuu kupata ladha mpya.Mwandishi mmoja aliwahi kuwa kwenye deligate ya mkulu kwenda qatar jamaa anatisha katika anga za mahaba kwani kila siku alikuwa akiruka na mwanamke mpya
 
Kwangu mimi naona kati ya ma-rais wa tanzania waliofanya safari zenye tija kwa Tanzania, JK ni wa kwanza. Miradi mingi ya barabara za lami, Miradi kupiga vita ugonjwa wa malaria, Usuluhishi wa migogoro iiyomo miongoni mwa nchi za afrika kama Kenya, Zimbabwe, Misamaha ya Madeni kutoka nchi za Magaribi. kuongezeka kwa wawekezaji wa nje n.k . Hayo ni baadhi tu mafanikio yaliyotokana na safari za JK nje. Mnaweza kuongezea mafanikio mengine
Umeahidiwa Cheo nini na JK kwa kumsifia?Toa PUMBA hapa,
 
kwa muda mwingi watu wa kada mbalimbali wamekuwa wakilalamika juu ya Safari za Rais J.K kuwa hazina tija kwa nchi, nini maoni yenu wana Jamii

huko kangaroo city anazuga tu. safari yake ni kuelekea all blacks city kukagua 'mashamba ya mchicha' ya rafiki yake ambaye hawakukutana barabarani.
 
Hii habari imenisikitisha sana, yaani toka mwak 2005 mpaka sasa 2011 safari 313? Wenye kumbukumbu mtuambie watanguliz wake yanii
Nyerere, Mwinyi na Ben ziklikuwa ngapi mpaka wantoka magoni.

Ukichukua safari 313 mpka sasa na kila safari fanya kama anakaa siku 4 ie 313X4=1252. Gawa hizi kwa 360 yaani 125/360=3.5 yaani ni mika mitatu yupo nje ya Nchi!!!!! Ametawala miaka 6 mpaka sasa toa 3.5 unapata 2.5 ndiyo miaka amabayo amekaa nchini. Zaidi ya nusu ya utawala wake yupo nje.

Kitendo Waziri Mkuu kusema atampigia simu akitua kilinisikitisha sana pale Dodoma, maana kumbe kazi nyingi zinasimama.

Jamani mshaurini mlio karibu naye
 
Ehee wajameni naona unakaribia mwaka mmoja safarini vile! Hivi ni kweli haya jamani? Naomba kujuzwa zaidi tafadhari.
 
Back
Top Bottom