Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

mkuu binafsi nimekusikia,kiasi kwamba nimehisi hasira kupanda kwa sababu ukiangalia watanzania maisha wanayoishi,chakula hawana, kiasi kwamba hawana uhakika wa kuishi,lakini wenzetu wanaishi maisha ya peponi wakiwa bado duniani,Inauma sana sana,(MUNGU YUPO ATATULIPIA TU) Fimbo ya mnyonge hulipwa na Mungu.
 
UPDATES: 21/2/2012

SAFARI ya 322,
Leo mheshimiwa Rais Jakaya M.Kikwete amesafiri kwenda Uingereza,hakuna sababu ya msingi inayompeleka huko japo kubwa ni kupangua Baraza la Mawaziri.
 
UPDATES: 21/2/2012

SAFARI ya 322,
Leo mheshimiwa Rais Jakaya M.Kikwete amesafiri kwenda Uingereza,hakuna sababu ya msingi inayompeleka huko japo kubwa ni kupangua Baraza la Mawaziri.

Kubwa zaidi anaenda Kubadilsha Damu, wanamtandao Vp?? Hakuna hata chembe ya ile kitu mliyomwekea Mwakyembe Kimakosa ilobaki ili Mumgusishe Na huyu Waluwalu Jk??
 
UPDATES: 21/2/2012

SAFARI ya 322,
Leo mheshimiwa Rais Jakaya M.Kikwete amesafiri kwenda Uingereza,hakuna sababu ya msingi inayompeleka huko japo kubwa ni kupangua Baraza la Mawaziri.

Mkuu kumbe upo? Kuna mdau humu alisema umeshapotezwa.

Asante sana kwa updates. Nakukubali sana kwa habari motomoto.
Tena natamani sana version yako kwa kinachotokea sasa na tamthilia ya Mwakyembe.
 
Hii ni ya 322, ngoja niwatafute Guieness world book of records, aingie kama most travelling president of all time.
 
Mkuu kumbe upo? Kuna mdau humu alisema umeshapotezwa.

Asante sana kwa updates. Nakukubali sana kwa habari motomoto.
Tena natamani sana version yako kwa kinachotokea sasa na tamthilia ya Mwakyembe.
Nipo mkuu, niliona ile thread na nilimjibu,

Mimi nipo na ile ya Mwakyembe naifuatilia kwa ukaribu sana nitalitolea ufafanuzi na hatua zitakazochukuliwa dhidi ya jeshi la polisi na mafisadi!
 
Nipo mkuu, niliona ile thread na nilimjibu,

Mimi nipo na ile ya Mwakyembe naifuatilia kwa ukaribu sana nitalitolea ufafanuzi na hatua zitakazochukuliwa dhidi ya jeshi la polisi na mafisadi!

Ok.
Kuwa macho na makini tu,kwani hakuna aliye salama katika hali ya sasa.
 
kaenda kfanya nn jaman?hv kwl jk ana uchungu na wanancg kwl?n janga la ktaifa
 
Jason Bourne unatisha angalia sana,maana balali kashachafua hali ya hewa kwamba tunauzwa,je ni kweli ebu share ur xprnc with us!!

Sikweli, TISS hatujaishiwa kiwango hicho, taarifa tuzitoe wenyewe kisha tununue info za waleta thread unaona inakuja? Yani tujinunue wenyewe?
Ondoeni woga makamanda, nchi inahitaji ukombozi!
 
Sikweli, TISS hatujaishiwa kiwango hicho, taarifa tuzitoe wenyewe kisha tununue info za waleta thread unaona inakuja? Yani tujinunue wenyewe?.
Ondoeni woga makamanda, nchi inahitaji ukombozi!
najisikia faraja kama bado upo nasi
 
i saw obama's fanpage on fb anavyoshambuliwa kwa safari zake on tax payer's money and kuna wanaotetea na kupinga, pengine tujiulize tumefaidika na nini?

Hii ya juba kenya wameenda wakiwa wamekamilika kwelikweli....

Je tunapata tija gani kama nchi kwa safari hizi ambazo kama kweli ni 313 means amekuwa nje almost the whole year! Ukiacha 28days za likizo...sasa wasting a year in 5yr reign is no small joke, his pace can only be beaten by mugabe...

Nadhani ni muhimu kuzichambua na kuangalia faida husika kwa tanzania...pengine ndio zimeleta ma investment ya ukweli kama symbion power

nafikiri ni muda wa kuangalia ni kiasi gani cha walipa kodi kimepotea kwenye safari za bwana mkubwa kama ni kweli milioni 300 hatuna budi kungalia hizo gharama kama zingetumika kuimarisha huduma za jamii nafikiri tungekuwa na vituo vya afya vingi,madaktari wasingegoma maana hazina kungekuwa na fedha,walimu wasingelalamika maana wangekuwa wameshalipwa maana fedha zingekuwepo
 
UPDATES: 24/2/2012
SAFARI YA 323,

Leo Rais mwenye maajabu duniani, mutu ya musoga, aka msafiri kafiri, anatua Botswana ikiwa ni mwendelezo wa safari zake za kikazi, huku nyumbani amecha mbwa wamepatwa na kichaa wanaua raia wanaomba haki yao ya kulindwa!

Inasikitisha, inashangaza aminini haya ndiyo ya FILAUNI.
 
kati ya membe na mkuu wa kaya nani ana safari nyingi?
 
Back
Top Bottom