kakakuona40
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 300
- 52
Mwenye wivu ajinyonge!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UPDATES: 21/2/2012
SAFARI ya 322,
Leo mheshimiwa Rais Jakaya M.Kikwete amesafiri kwenda Uingereza,hakuna sababu ya msingi inayompeleka huko japo kubwa ni kupangua Baraza la Mawaziri.
UPDATES: 21/2/2012
SAFARI ya 322,
Leo mheshimiwa Rais Jakaya M.Kikwete amesafiri kwenda Uingereza,hakuna sababu ya msingi inayompeleka huko japo kubwa ni kupangua Baraza la Mawaziri.
Nipo mkuu, niliona ile thread na nilimjibu,Mkuu kumbe upo? Kuna mdau humu alisema umeshapotezwa.
Asante sana kwa updates. Nakukubali sana kwa habari motomoto.
Tena natamani sana version yako kwa kinachotokea sasa na tamthilia ya Mwakyembe.
Nipo mkuu, niliona ile thread na nilimjibu,
Mimi nipo na ile ya Mwakyembe naifuatilia kwa ukaribu sana nitalitolea ufafanuzi na hatua zitakazochukuliwa dhidi ya jeshi la polisi na mafisadi!
Asante mkuu na heshima kwako kamanda!Ok.
Kuwa macho na makini tu,kwani hakuna aliye salama katika hali ya sasa.
Asante mkuu na heshima kwako kamanda!
Jason Bourne unatisha angalia sana,maana balali kashachafua hali ya hewa kwamba tunauzwa,je ni kweli ebu share ur xprnc with us!!
najisikia faraja kama bado upo nasiSikweli, TISS hatujaishiwa kiwango hicho, taarifa tuzitoe wenyewe kisha tununue info za waleta thread unaona inakuja? Yani tujinunue wenyewe?.
Ondoeni woga makamanda, nchi inahitaji ukombozi!
najisikia faraja kama bado upo nasi
Asante sana!
i saw obama's fanpage on fb anavyoshambuliwa kwa safari zake on tax payer's money and kuna wanaotetea na kupinga, pengine tujiulize tumefaidika na nini?
Hii ya juba kenya wameenda wakiwa wamekamilika kwelikweli....
Je tunapata tija gani kama nchi kwa safari hizi ambazo kama kweli ni 313 means amekuwa nje almost the whole year! Ukiacha 28days za likizo...sasa wasting a year in 5yr reign is no small joke, his pace can only be beaten by mugabe...
Nadhani ni muhimu kuzichambua na kuangalia faida husika kwa tanzania...pengine ndio zimeleta ma investment ya ukweli kama symbion power
Haaahaaa hivi kweli hayo yalikuwa maombi ya watz?Taifa liliomba Rais tukapewa JK......
kati ya membe na mkuu wa kaya nani ana safari nyingi?UPDATES: 24/2/2012
SAFARI YA 323,
Leo Rais mwenye maajabu duniani, mutu ya musoga, aka msafiri kafiri, anatua Botswana ikiwa ni mwendelezo wa safari zake za kikazi, huku nyumbani amecha mbwa wamepatwa na kichaa wanaua raia wanaomba haki yao ya kulindwa!
Inasikitisha, inashangaza aminini haya ndiyo ya FILAUNI.