Mtanzania1
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 1,168
- 167
Mkuu nakupongeza kwa juhudi zako za kutujuza mara kwa mara,
Hivi huwezi kutupa walau average ya gharama tulizoingia kutokana na safari hizi?
Maana mimi naona hasara ya fedha ni kubwa sana kuliko nchi kutokuwa na Rais kwa siku 332 ( almost a year.)
kama kila tripu amekaa nje ya kwa siku 3, ina maana amekaa siku 996. Ukigawa kwa siku 366 ni sawa na miaka miwili na miezi 7. Gharama yake ngapi? ndo swali langu.
mheshimiwa wa magogoni alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda juba south sudani kwenye birthday ya taifa hilo!
Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005
333 ukizidisha kwa 250,000,000/= Tshs83,250,000,000. au 333 zidisha kwa 300,000,000/= Tshs 99,900,000,000/= Serikali hii ni maskini haina uwezo kuboresha miundo mbinu ya huduma za jamii. Je, nchi inanufaika na safari hizi au inaongeza madeni yanayohatarisha usalama wa rasilimali za nchi yetu? Watanzani fanyeni tathmini.