Mtanzania1
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 1,168
- 167
Mkuu nakupongeza kwa juhudi zako za kutujuza mara kwa mara,
Hivi huwezi kutupa walau average ya gharama tulizoingia kutokana na safari hizi?
Maana mimi naona hasara ya fedha ni kubwa sana kuliko nchi kutokuwa na Rais kwa siku 332 ( almost a year.)
kama kila tripu amekaa nje ya kwa siku 3, ina maana amekaa siku 996. Ukigawa kwa siku 366 ni sawa na miaka miwili na miezi 7. Gharama yake ngapi? ndo swali langu.
......mkuu hili jambo lipo mahakamani....ni dhambi kulijadili......