Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Mkuu nakupongeza kwa juhudi zako za kutujuza mara kwa mara,
Hivi huwezi kutupa walau average ya gharama tulizoingia kutokana na safari hizi?

Maana mimi naona hasara ya fedha ni kubwa sana kuliko nchi kutokuwa na Rais kwa siku 332 ( almost a year.)

kama kila tripu amekaa nje ya kwa siku 3, ina maana amekaa siku 996. Ukigawa kwa siku 366 ni sawa na miaka miwili na miezi 7. Gharama yake ngapi? ndo swali langu.

......mkuu hili jambo lipo mahakamani....ni dhambi kulijadili......
 
Si ni raisi wa mambo ya nje mwacheni aplay his part
 
SAFARI YA 333 ya Kikwete ni kuelekea Acra Ghana kuhudhuria mazishi ya kiongozi wa ghana kesho
 
mnapata inflow za chandarua na outflow ya uranium na dhahabu. think great mtoa mada
 
Yericko ****** anaweza kuleta bifu na rais ajaye baada ya 2015 maana atataka kuwa analipwa fedha kuendelea kutalii dunia wakati hana chake.
 
Last edited by a moderator:
mheshimiwa wa magogoni alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda juba south sudani kwenye birthday ya taifa hilo!
Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005

safari ya ghana kuzika hujaweka mkuu.jana aliwasili huko.
 
333 ukizidisha kwa 250,000,000/= Tshs83,250,000,000. au 333 zidisha kwa 300,000,000/= Tshs 99,900,000,000/= Serikali hii ni maskini haina uwezo kuboresha miundo mbinu ya huduma za jamii. Je, nchi inanufaika na safari hizi au inaongeza madeni yanayohatarisha usalama wa rasilimali za nchi yetu? Watanzani fanyeni tathmini.
 
333 ukizidisha kwa 250,000,000/= Tshs83,250,000,000. au 333 zidisha kwa 300,000,000/= Tshs 99,900,000,000/= Serikali hii ni maskini haina uwezo kuboresha miundo mbinu ya huduma za jamii. Je, nchi inanufaika na safari hizi au inaongeza madeni yanayohatarisha usalama wa rasilimali za nchi yetu? Watanzani fanyeni tathmini.

mkwereeee kazoea ngoma heheheee hawezi kuacha kufagilia safari lololoooooo tumeshazoea wakweree kusafiri wiwiwwwiiiiiiii!
 
UPDATES

SAFARI YA 333 .

Rais Jakaya Kikwete yupo nchni Ghana kuhudhuria msiba wa rais wa nchi hiyo.
 
Inawezekana kuwa na wa wenzetu wamefanya safari za idadi inayolingana na ya kwetu?
 
Aiseee baba yangu tokea naanza kuangalia safari ya kwanza mpaka ya mwisho sijaona safari ya kuja huku kwetu mkuu rombo au kwakuwa hakuna kiwanja cha ndege

ngoja nipate mbege
 
msilalamike sana huwa anasafiri akirudi ANATEUA NA KUHANI misiba ambaya ilyotokea wakati hayupo wakati huo anasubiria safari nyingine kwenda kuwasalimia wale twiga walioko arabuni
 
Amini usiamini katika kipindi chake cha miaka saba Raisi wetu amekuwa nje ya nchi zaidi ya miaka mitatu! Hii ina maana kuwa toka awe Raisi kila wiki yuko safarini...kwa hesabu zingine ni kuwa kwa kila wiki, siku tano tu yuko nchini na siku mbili yuko kiguu na njia!
 
..outfit allowance??!!

..halafu baada ya hapo wanahongwa suti.
 
Jana Jumapili 12/8/2012, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Kikwete ametimiza safari ya 333 tangu amechaguliwa kuwa Rais wa Tanzania.

Wakati huo huo, Obama ametimiza safari ya 24 tangu amechaguliwa kuwa Rais wa Marekani.

Safari ya 333 imekamilikia Ghana alikokuwa anashangaa wanavyozalisha nanasi kwa wingi na akaahidi kuwapeleka wanzania kwa wingi ili wajifunze namna ya kuzalisha nanasi za "kisasa" tofauti na zile wanazolima Chalinze na kuuziana wenyewe kwa wenyewe.

kwa hili tunampongeza kwa safari nyingi lakini tunajiuliza je, safari hizi zimeaathiri uchumi wa Tanzania kwa namna gani (positively or negatively)?

Safari nyingi zinaonesha hali ya umasikini wa nchi au kuonesha kuwa yeye anashughuli nyingi nje ya nchi zaidi ya nchini?

attachment.php


Nawasilisha
 
Back
Top Bottom