Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niliwahi kusoma kwenye cv yake sehemu anasema hobby zake ni kusafiri na kucheza basketball na ndio maana mkapa alimpa uwaziri wa mambo ya nje..acha aendeleze hobby yake mpaka 2015 atimue zake...nahisi itabidi ajiuguze ili kila mara awe anaenda nje kutibiwa..qaqaqaqaqaqqqqaaaaa
Mheshimiwa wa magogoni alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!
Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005
UPDATES
Mpaka leo tarehe 23/8/2011 tayari amesha safiri safari 315 tangu aingie magogoni octoba mwaka 2005
Hii ni rekodi ya kipekee duniani ambayo watz tunatakiwa kujivunia na kutembea kifua mbele maatako nyuma
UPDATES
Kesho tar 9/9/2011 rais atasafiri kuelekea Kenya kwa ziara ya kikazi
Hiyo ni safari ya 316 tangu rais aingie madarakani mwaka 2005!
UPDATES:
Safari ya 317 kwa rais wangu kipenzi!
ameenda marekani katika ufunguzi wa UNGA.vilevile atashiriki katika sherehe za kuazimisha maendeo yaliyofikiwa na nchi zinazo endelea.
wakati huo huo waziri mkuu pinda ametangaza kuwa serikali inakusudia kuongeza bei ya umeme kwa sababu tanesco inajiendesha kwa
hasara.mia
UPDATES
Safari ya 318 ya rais mwenye maajabu duniani!
JK anaondoka leo kuelekea Australia kwenye mkutano wa jumuiya ya madola...
UPDATES
Wakuu nimepata taarifa halisi za wastani wa gharama ya NAULI ya kila safari ya nje ambayo rais kikwete na ujumbe wake hutumia! Kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya kuaminika toka wizara ya fedha,hazina na magogoni ni kuwa kila msafara hugharimu kadirio la juu milioni 300 na kadilio la chini ni milioni 250. Zingatieni hii ni NAULI ya ndege iende irudi tu!
Sasa hebu chambueni wenyewe ikulu inatumia kiasi gani kwa safari za rais?
UPDATES
16/12/2011
Safari ya 319, hivi sasa yupo nchi Uganda katika mkutano uitwao International Conference of Heads of State (ICGLR)
Rais wetu anazidi kujijengea heshima katika mkakati wake wa kuvunja rekodi ya dunia kwa kusafi hata ziara zenye kumtuma waziri, yeye anasafi tu ilimradi lengo litimie
Inashangaza sana kuona maraisi wenzake kwa kujali zaidi maslahi ya mataifa yao, hawakuona sababu za kuhudhuria sherehe za uhuru wa Tanganyika wakabaki na wengine kutuma wawakilishi tu, lakini jk hata kicheni pati akialikwa Urusi atasafiri bila kukosa.
UPDATES
Safari ya 320 ya Rais JK Ameenda Davos Kuikomboa Tanzania, acheni Kelele !
ambakoatahudhuria mikutano ya WEF na ule wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Afrika (AU)mjini Addis Ababa, Ethiopia atakapowasili Jumamosi, Januari 28, 2012
UPDATES:
SAFARI ya 321 ya Mh Rais Jakaya M. Kikwete, sasa leo anatua katika nchi ya Afrika kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa, Ethiopia atakapowasili leo Jumamosi, Januari 28, 2012
UPDATES: 21/2/2012
SAFARI ya 322,
Leo mheshimiwa Rais Jakaya M.Kikwete amesafiri kwenda Uingereza,hakuna sababu ya msingi inayompeleka huko japo kubwa ni kupangua Baraza la Mawaziri.
UPDATES: 24/2/2012
SAFARI YA 323,
Leo Rais mwenye maajabu duniani, mutu ya musoga, aka msafiri kafiri, anatua Botswana ikiwa ni mwendelezo wa safari zake za kikazi, huku nyumbani amecha mbwa wamepatwa na kichaa wanaua raia wanaomba haki yao ya kulindwa!
Inasikitisha, inashangaza aminini haya ndiyo ya FILAUNI.
UPDATES:
Safari ya 324!
15/04/2012 Rais Jakaya Kikwete ametua Brazili kwa ziara ya kikazi!
UPDATES:
SAFARI YA 325
Leo tarehe 22 rais Jakaya Kikwete amewasili Malawi kushiriki mazishi ya aliyekuwa rais wa Malawi Bingu wa Mtharika!
Raitba inasema atarudi tz tarehe 24
UPDATES:
Leo tarehe 9/5/2012
Safari ya 326 tangu mkuu wa nchi aingie madarakani!
Rais amewasili Addis Ababa Ethiopia KWA KONGAMANO LA UCHUMI LA KIMATAIFA KWA AFRICA!
UPDATES:
Safari yake ya 327,
Rais Jakaya Kikwete yupo nchini Marekani tangu tarehe 16/5/2012 akisubiri kuhudhuria mkutano unaotarajiwa kufanyika tarehe 19/5/2012,
UPDATES
SAFARI YA 328:
Leo tarehe 1/7/2012
Rais wa Tanzania Mh Jakaya M. Kikwete na ujumbe wake wamesafiri mpaka Kigali Rwanda kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo!
Mungu ibariki Tanzania!
UPDATES:
SAFARI YA 329
Tarehe 2/7/2012
Rais Jakaya baada ya kutoka kuhudhuria sherehe za uhuru nchini Rwanda, ameunganisha kwenda nchini Burundi kuhudhurua sherehe za Uhuru wa nchi hiyo!
UPDATES
Tarehe 10/7/2012
Safari ya 330:
Hivi punde tumewasili nchini Uingereza,
Msafara wa mh rais Jakaya Kikwete umewasili Hyatt Regency London-The Churchill
Ziara hii imetufikisha hapa kwaajili ya mh rais kuhudhuria mkuta unaohusu mambo ya Family Plan!
UPDATES:
SAFARI YA 331
Tarehe 14, rais Jakaya Kikwete amewasili Mjini Addis Ababa Ethiopia kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU),
UPDATES:
SAFARI YA 332.
Rais Jakaya Kikwete amewasili Kampala, Uganda,*kuhudhuria mkutano wa*nchi*za Maziwa Makuu asubuhi Agosti*8, 2012
UPDATES
SAFARI YA 333 .
Rais Jakaya Kikwete yupo nchni Ghana kuhudhuria msiba wa rais wa nchi hiyo.
UPDATES
SAFARI YA 334
Tarehe 16/8/2012 Rais JK alitua Maputo Msumbiji kuhudhuria mkutano wa wakuu wa Afrika,
UPDATES.
SAFARI YA 335
Rais jakaya kikwete atatua Addis Ababa Ethiopia mda wowote kuanzia sasa kuhudhuria mazishi ya waziri mkuu wa nchi hiyo Melez Zenawi
Sijaona ile ya kwenda kuhudhuria mkutano wa family planning marekani !
Hotuba yake ya kwanza BUNGENI usingetegemea mtu aliye pania kufanya mambo makubwa vile aishie kiongozi wa kwanza duniani kusafiri kwenda Nchi za nje huku nchi ikiwa mitafaruku kibao ya kijamii.AFRIKA BWANA HAINA TIBA.I saw Obama's fanpage on FB anavyoshambuliwa kwa safari zake on tax payer's money and kuna wanaotetea na kupinga, pengine tujiulize tumefaidika na nini?
Hii ya JUBA Kenya wameenda wakiwa wamekamilika kwelikweli....
Je tunapata tija gani kama nchi kwa safari hizi ambazo kama kweli ni 313 means amekuwa nje almost the whole year! Ukiacha 28days za likizo...sasa wasting a year in 5yr reign is no small joke, his pace can only be beaten by Mugabe...
Nadhani ni muhimu kuzichambua na kuangalia faida husika kwa Tanzania...pengine ndio zimeleta ma investment ya ukweli kama Symbion Power
UPDATES.
SAFARI YA 335
Rais jakaya kikwete atua Addis Ababa Ethiopia leo kuhudhuria mazishi ya waziri mkuu wa nchi hiyo Melez Zenawi
UPDATES.
SAFARI YA 335
Rais jakaya kikwete atua Addis Ababa Ethiopia leo kuhudhuria mazishi ya waziri mkuu wa nchi hiyo Melez Zenawi
Duuuu, ama kweli huyu jamaa ni vasco dagama. Hivi kwa wastani, safari moja inaweza kugharimu kiasi gani?Hadi leo ziko 336 Ile ya Kampala inclusive!!!!
Nukuu za mwezi wa nne walisema safari moja (kabla hajapunguza idadi ya maafsa alokuwa anasafiri nao) ilikuwa inagharimu Millioni mia tatu 300,000,000. Habari ndo hiyo!Duuuu, ama kweli huyu jamaa ni vasco dagama. Hivi kwa wastani, safari moja inaweza kugharimu kiasi gani?