Huyu Kima mandla ni nani mpka atishie watu wasihesabu safari za rais? Hii itakuwa ya 700 na ushee! Kikwete ni mtu mwenye inferiority complex. Ndio maana kitu ambacho ni kawaida kwa watu wengine anataka kwake kionkena special. PhD za heshima unajiita Dr. Ni dalili za kutojiamnini. Anadhani akijiita Dr. basi ataonekana wa maan sana. Si unajua wanatumia ujinga wa watanzania kutokujua mambo? Walianza kumwita Dr, Wakati Dr Slaa ameingia kwenye kinyanganyiro cha urais, ili ionekane wako droo. Ni kutokujiamini tu!