respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,842
Aliyeanzisha huu uzi tulisha mkanya zamani, lakini naona bado kuna viherehere mmebaki.....Ok
Hahahaha....mitakataka ya Lumumba bhana..! Mnamtisha mtu kwa kusema ukweli? Kipi alichosema kibaya hapo...Eti tulishamkanya!!! What kumkanya??? Pambafu nadala ya kumtisha huyo mbadhirifu wa fedha za umma ninyi mnamtisha mtu safi anayetumia haki yake ya kidemokrasia kutoa maoni yake tena ktk misingi isiyo na uchochezi wowote. Wajinga sana nyinyi...Halafu kunawatu wanalalamika eti ufisadi hauishi Tanzania!! Utaishaje kwa kuwa na watu wenye vichwa vya kunguru kama huyu ManDla Jr ??
BACK TANGANYIKA
Last edited by a moderator: