Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Aliyeanzisha huu uzi tulisha mkanya zamani, lakini naona bado kuna viherehere mmebaki.....Ok

Hahahaha....mitakataka ya Lumumba bhana..! Mnamtisha mtu kwa kusema ukweli? Kipi alichosema kibaya hapo...Eti tulishamkanya!!! What kumkanya??? Pambafu nadala ya kumtisha huyo mbadhirifu wa fedha za umma ninyi mnamtisha mtu safi anayetumia haki yake ya kidemokrasia kutoa maoni yake tena ktk misingi isiyo na uchochezi wowote. Wajinga sana nyinyi...Halafu kunawatu wanalalamika eti ufisadi hauishi Tanzania!! Utaishaje kwa kuwa na watu wenye vichwa vya kunguru kama huyu ManDla Jr ??

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:

Huyu Kima mandla ni nani mpka atishie watu wasihesabu safari za rais? Hii itakuwa ya 700 na ushee! Kikwete ni mtu mwenye inferiority complex. Ndio maana kitu ambacho ni kawaida kwa watu wengine anataka kwake kionkena special. PhD za heshima unajiita Dr. Ni dalili za kutojiamnini. Anadhani akijiita Dr. basi ataonekana wa maan sana. Si unajua wanatumia ujinga wa watanzania kutokujua mambo? Walianza kumwita Dr, Wakati Dr Slaa ameingia kwenye kinyanganyiro cha urais, ili ionekane wako droo. Ni kutokujiamini tu!
 
Hahahaaaa mnanikumbusha I BIN BATUTA huyu mwarabu alisafiri dunia nzima enzi hizoooo za majahazi
 
Anapata amani akiwa nje ya nchi. Hili bunge la Six linamnyima raha. Alikubali mabadiliko ya katiba bila maandalizi ya kutosha.
 
Hivi zile safari za kutembelea Vanuatu, Tonga, Tuvalu, Western Samoa na Fiji zilifutwa?
 
Tuendelee kuweka rekodi kisha tutathmini faida na hasara kwa nchi tulinganishe na rkodi ya marais wengine kama itawezekana kwa jambo hili.
 
Kuna wale wenzetu naona wamekwamia msalani, siwaoni kabisa kwenye hili
 
User Name: Jason Bourne
User Title: Senior Member
Last Activity: 12th October
2014 09:28
~~~~~~~~~~~~~~~~~
unatutendea sio haki kukaa kimya bila kuweka update since ulipata wazo la kuanzisha huu uzi na kama unaona huwezi mpe member mwingine hii kazi.
_kazi za jf ni za kujitolea hulipwi bro....
_hii kazi mpe member mwingine leo!!!!
 
Mkuu ni ngumu ku match na safari za JK!Kwa mwezi lzm awe nje ya nchi mara 5 au 6!

Rekodi ya safari 400 za Rais Obasanjo(Nigeria)aliivunja kwa siku nyingi sana
 
Back
Top Bottom