Tumbiliwaulaya
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 280
- 435
Hakuwahi kujenga miradi mikubwa ya kimkakati, km ununuzi wa ndege,ujenzi wa reli,bwawa la umeme,kwa upigaji wa enzi za kikweta hata mmoja tu kati ya hii miradi usingewezekana.Pamoja na JK kupiga safari 427 za nje ya nchi katika utawala wake ambapo gharama yake ni kubwa mno.
Kulikuwa na wafanyakazi hewa.
Walimu waliajiriwa kila mwaka na watumishi kupandishwa madaraja.
Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ilikuwa sio haba ukilinganisha sasa.
Wizi mkubwa wa mali za umma ulitokea ikiwemo ESCROW.
Hela alizitoa wapi???
Mbona hali ni tofauti na sasa awamu hii ya Jiwe????
Tunachoshukuru sana ni Mungu kuingilia kati, pamoja na sisi kutambua mwelekeo wa korongoni ila Mungu ndio alitambua zaidi hadi akaamua kutunusuru.Hakuwahi kujenga miradi mikubwa ya kimkakati, km ununuzi wa ndege,ujenzi wa reli,bwawa la umeme,kwa upigaji wa enzi za kikweta hata mmoja tu kati ya hii miradi usingewezekana.
Duh!Tunachoshukuru sana ni Mungu kuingilia kati, pamoja na sisi kutambua mwelekeo wa korongoni ila Mungu ndio alitambua zaidi hadi akaamua kutunusuru.
Hivi kipindi cha Jk na kipindi cha Magu ni kipindi gani wanufaika wa mikopo ya Elimu ya juu ilikuwa ni kubwa?Pamoja na JK kupiga safari 427 za nje ya nchi katika utawala wake ambapo gharama yake ni kubwa mno.
Kulikuwa na wafanyakazi hewa.
Walimu waliajiriwa kila mwaka na watumishi kupandishwa madaraja.
Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ilikuwa sio haba ukilinganisha sasa.
Wizi mkubwa wa mali za umma ulitokea ikiwemo ESCROW.
Hela alizitoa wapi???
Mbona hali ni tofauti na sasa awamu hii ya Jiwe????
JK pamoja na mapungufu yake, kila mtu alinufaika kwa namna yake.Hivi kipindi cha Jk na kipindi cha Magu ni kipindi gani wanufaika wa mikopo ya Elimu ya juu ilikuwa ni kubwa?
Na kipindi hicho ambacho mishahara mkisubiri mpaka tarehe 40 hamjapata na ndiyo kipindi mpaka mishahara kulipa ilikuwa shida mpaka pesa ikopwe..!!
Zaman hiyo mikopo si wakipata watoto wa wenye fedha? Na wakirudisha kweli?JK pamoja na mapungufu yake, kila mtu alinufaika kwa namna yake.
Mikopo Elimu ya juu ilikuwa sio haba kulingana na vigezo kama priority ila alipoingia JPM alivuruga sana, hats wewe utakuwa shahidi hadi watu(wanafunzi) wakaanza kushinikiza hadi utaratibu wa zamani ukarejeshwa.
Kuhusu mishahara ingawa ilikuwa na ucheleweshwaji lakini waliipata na stahiki zao zote za madaraja na nyongeza walizipata. Hata kama Mtu alikuwa anakopa kwa Mangi ila alikuwa na uhakika wa kurejesha. Kwa JPM ikawa ni tofauti, stahiki zote zilipigwa pini.
JK pamoja na mapungufu yake, kila mtu alinufaika kwa namna yake.
Mikopo Elimu ya juu ilikuwa sio haba kulingana na vigezo kama priority ila alipoingia JPM alivuruga sana, hats wewe utakuwa shahidi hadi watu(wanafunzi) wakaanza kushinikiza hadi utaratibu wa zamani ukarejeshwa.
Kuhusu mishahara ingawa ilikuwa na ucheleweshwaji lakini waliipata na stahiki zao zote za madaraja na nyongeza walizipata. Hata kama Mtu alikuwa anakopa kwa Mangi ila alikuwa na uhakika wa kurejesha. Kwa JPM ikawa ni tofauti, stahiki zote zilipigwa pini.
Walipata waliokuwa na sifa ikiwemo kozi zao kama zilikuwa priority.Zaman hiyo mikopo si wakipata watoto wa wenye fedha? Na wakirudisha kweli?
Zipo NBSMikopo ya elimu ya juu?una takwimu?
Aisee mzee alikula bataMheshimiwa wa rais Dr Jakaya Kikwete nikivutio duniani kwa sasa baada yakuwa ni kiongozi wa kipekee Afrika na duniani,
Kwanza anaitwa/anajita Dr Jakaya Kikwete wakati hajawahi kusoma popote duniana na hatasoma milele kwa ngazi hiyo ya PHd....
Ndio vizuriTumerejea Rasmi hizi zama.