Son of Africa
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 233
- 32
Hilo ni chaguo lako kama jina lako lilivyo. Chukua family yako mkamng'oe magogoni...sisi kwetu huo ni uhaini. Kwani katika aina nne za utawala yeye hayumo ktk kundi la utawala wa kiimla..aliingia kidemokrasia ukimpa kura za 81%. 2005 na 61% 2010.