Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Yawezekana kadirio ulilolifanya ni dogo sana, maana kumbuka kuna kipindi ujumbe wake huzidi watu hamsini, wakati huohuo fahamu huwa wanajilipa per diem
 
Tunza hesabu tutapata na sisi ushahidi siku mambo yatakapomgeuka kama ya gaddaf.
 
Safari 322 hizo ni kidogo sana mkuu hebu piga mahesabu vizuri bwana!:A S embarassed::A S embarassed:
 
Kuna kipindi alisema ni lazima asafiri ili kuitangaza vema Tanzania, kwani Mabalozi walioko nje wanafanya kazi gani? Mimi na upeo wangu mdogo wa mambo haya nilikuwa ninahisi kazi mojawapo ya mabalozi wetu kule nje ni kuitangaza nchi yetu na vivutio vyake pamoja na wao kutupatia taarifa zinazofanana na hizo kwa nchi wanazotuwakilisha?! Mf. Balozi wa Tanzania nchini Rwanda atujulishe opportunities zilizoko kule ili wananchi wenye uwezo wakaweekeze au kufanya kazi kule ??

Hebu nijirudie kwenye ustawi wa jamii mie huku hata hapanfai,
 
Wana JF mbona ile thread ya safari za JK kama vile haipo au ni mimacho yango haioni vizuri???????
 
Wakuu baada ya kufuatilia kwa karibu safari za Rais Jakaya Kikwete nje ya nchi, nikatafakari kuhusu muda anaotumia kuitumikia nchi na gharama zake anazotumia ktk safari hizo.
Muda
Rais amesafiri nje ya nchi mara 322. Hilo halijadiliki – Liko wazi hapa JF na magazetini. Na halijawahi kukanushwa na mtu yeyote, ikiwepo ikulu yenyewe.
Safaru nyingi za Rais anatumia kuanzia siku 4, 5 , 7 hadi siku 14 na kuendelea. Safari ya mwisho ya Davos – wiki iliyopita alitumia wiki moja.
kwa kuwa safari zake nyingi ni nje ya Afrika Masharika – ambayo hutumia siku moja kwa kwenda na siku moja kurudi ni sawa na kusema anatumia Jumla ni siku 2 njiani kwa tripu mmoja tu.
Kwa hiyo tukikadiria kuwa Rais ktk safari zake amefanya kazi kwa siku 2 tu. Ukijumlisha siku 2 ya kwenda na kurudi. Jumla ni siku 4 kwa wastani - kwa safari mmoja ya majuu. Kwakuwa sote tunakubaliana kuwa Rais amesafiri mara 322, tuzidishe hiyo idadi ya tripu/safari ( 322) kwa wastani wa hizo siku 4 kwa kila tripu/safari. Utapata jumla ya siku 1288. Hizi siku 1288 ukizigawa kwa siku 365/366 ( siku za mwaka mmoja) utapata miaka 3.5 (yaani mika 3 na miezi 6) Rais amekaa nje ya mipaka ya Tanzania.
Kwa kuwa Rais Jk aliingia madarakani mwaka 2005 na hadi sasa 2012 amekaa madarakani kwa miaka 6. Kwa hiyo, Rais amekaa nje ya nchi nusu ya muda wake wote aliokaa ktk nafasi urais( 3.5 yrs out of 6 years)
Je, Rais hajavunja rekodi ya kuingizwa ktk G. book of rekodi ya dunia? Yaani Rais aliyekaa nje ya nchi yake kwa muda mrefu kuliko marais wote wa dunia? Rais gani amemezidi Rais wetu?
NB Rais wa Marekani ambao ni wafadhili wetu, hata kwenye bajeti yetu kuu aliyesafiri sana nje ya nchi zaidi safari 70 (kama 74?) alipigiwa kelele. Wasaidiwa - TZ wanafanya tripu 322?
Ninaanza kuelewa jibu la kwanini Rais mara nyingi husaini nyaraka feki kwa sababu ya ukosefu wa Muda wa kuzisoma.

GHARAMA
Safari ya mwisho ( safari ya 322) ya Davos iliigharimu Serikali Tsh mil 300. Nikiamu kuchukua theluthi mbili ya gharama hizo - yaani mil 200, kisha nikazidisha kwa idadi ya tripu 322. Jumla yake ni 64,400,000,000. Mabilioni haya ni mengi sana. Ukizigawa 64,400,000,000 kwa mil 50 ambazo ndio gharama ya kujenga zahanati mmoja kwa wastani, utapata jumla ya Zahanati 1288. Zahanati hizi ni sawa na idadi ya siku alizokaa nje ya nchi Rais wetu(refer red above).
Pili,Kiasi hiki hizi zingetosha kuweka Zahanati kwenye zaidi ya 50% ya kila kata nchi nzima. Nchi yetu ina kata 2000 na kidogo. Ikumbukwe kuwa Tz wanawake wajawazito kati 24 hadi 36 kwa siku wanakufa kwa sababu kadhaa ikiwepo kutokuwepo kwa zahanati au zinapatikana mbali.

NB Hata ukisema Rais amefanya kazi nje ya nchi kwa siku moja tu (kitu ambacho binafsi siamini na inapingana na uzoefu halisi wa JK), jumlisha na siku 2 za kwenda na kurudi, unapata jumla ya siku 3 kwa tripu mmoja ya nje. Ukizidisha kwa tripu za nje 322 utapata siku 966, ambazo ukizigawa kwa siku 365/366 za mwaka, utapata 2. 5 (yaani miaka 2 na nusu.)

Maswali ya ziada.

Watetezi wa safari hizi za JK watueleze faida ya safari hizo ukilinganisha na gharama tulizoingia. Je, hizo neti za Gorge Bush zinaendana na Gharama tuliyoingia?
Ikiwa Rais yuko nje ya nchi kwa safari mbali mbali kwa nusu ya muda wake wa kukaa ikulu, nani anakaa ikulu na kutafakari kuhusu utatuzi wa matatizo yetu?
Je, Rais kwanini asiwatume watu wengine (PM, Makamo, nk) kufanya baadhi ya safari nje ya nchi kwa niaba yake?
Je, Rais lazima aende na delegation kubwa ambayo inaongeza gharama za safari zake?
Je, tutakwenda kwa mwendo huu mpaka 2015 kwa amani kweli?
NB; Ikumbukwe safari hizi zinahusisha kwenda kutembelea wanamuziki maarufu wa USA - Boys 2 men na kubembea majuu. Tunahitaji katiba mpya kuliko kawaida.

Your ideas please!
 
Kaka,
Ukivuna gunia moja la mahindi (kilo 100) na ukatumia kilo 70 kutengenezea pombe basi juwa njaa iko karibu nawe
 
Tanzania maskini ila ikulu ya tanzania ni tajiri kulinganisha na ikulu zote duniani..........
 
Mkuu na kwakuongeza kidogo nikua ukifuatilia kwaundani sana kuhusiana na safari hizo na zinazoendelea kuja basi angalieni ni kua likitokea tukio la kitaifa ambalo huyu jamaa anatakiwa alifanyie ufumbuzi kama mkuu wa nchi kwa mfano, migomo/majanga/maandamano na matukio mengineyo basi jamaa lazima aingie mitini kwa kigezo cha kwenda kutuombea chakula kwa wakuu wa nje.
 
Kama ni kweli haya anayosema mleta hii thread, basi JK anatakiwa awemo katika G. BOOK OF RECORD.
 
Heshima kwako M/Kiti wangu AWEDA. Mapambano yanaendelea.

JK.jpg
 
JK AMEKAA NJE YA NCHI ZAIDI YA MIAKA 2, SIKU 966 NA TRIPU 322.

Wakuu baada ya kufuatilia kwa karibu safari za Rais Jakaya Kikwete nje ya nchi, nikatafakari kuhusu muda anaotumia kuitumikia nchi na gharama zake anazotumia ktk safari hizo. Muda
Rais amesafiri nje ya nchi mara 322. Hilo halijadiliki – Liko wazi hapa JF na magazetini. Na halijawahi kukanushwa na mtu yeyote, ikiwepo ikulu yenyewe.
Safaru nyingi za Rais anatumia kuanzia siku 4, 5 , 7 hadi siku 14 na kuendelea. Safari ya mwisho ya Davos – wiki iliyopita alitumia wiki moja.
kwa kuwa safari zake nyingi ni nje ya Afrika Masharika – ambayo hutumia siku moja kwa kwenda na siku moja kurudi ni sawa na kusema anatumia Jumla ni siku 2 njiani kwa tripu mmoja tu.
Kwa hiyo tukikadiria kuwa Rais ktk safari zake amefanya kazi kwa siku 2 tu. Ukijumlisha siku 2 ya kwenda na kurudi. Jumla ni siku 4 kwa wastani - kwa safari mmoja ya majuu.

GHARAMA
Kwakuwa sote tunakubaliana kuwa Rais amesafiri mara 322, tuzidishe hiyo idadi ya tripu/safari ( 322) kwa wastani wa hizo siku 4 kwa kila tripu/safari. Utapata jumla ya siku
1288. Hizi siku 1288 ukiZIgawa kwa siku 365/366 ( siku za mwaka mmoja) utapata miaka 3.5 (yaani mika 3 na miezi 6) Rais amekaa nje ya mipaka ya Tanzania.
Kwa kuwa Rais Jk aliingia madarakani mwaka 2005 na hadi sasa 2012 amekaa madarakani kwa miaka 6. Kwa hiyo, Rais amekaa nje ya nchi nusu ya muda wake wote aliokaa ktk nafasi urais( 3.5 yrs out of 6 years)
Je, Rais hajavunja rekodi ya kuingizwa ktk G. book of rekodi ya dunia? Yaani Rais aliyekaa nje ya nchi yake kwa muda mrefu kuliko marais wote wa dunia? Rais gani amemezidi Rais wetu?
NB Rais wa Marekani ambao ni wafadhili wetu hata kwenye bajeti kuu aliyesafiri sana nje ya nchi zaidi tripu 70 (kama 74?) alipigiwa kelele. Wasaidiwa - TZ wanafanya tripu 322?
Je, tumepata jibu la kwanini Rais mara nyingi husaini nyaraka feki kwa sababu ya ukosefu wa Muda wa kuzisoma?

GHARAMA
Safari ya mwisho ( safari ya 322) ya Davos iliigharimu Serikali Tsh mil 300. Nikiamu kuchukua theluthi mbili ya gharama hizo - yaani mil 200, kisha nikazidisha kwa idadi ya tripu 322. Jumla yake ni 64,400,000,000. Mabilioni haya ni mengi sana. Ukizigawa mil 50 ambazo ndio gharama ya kujenga zahanati mmoja kwa wastani, utapata jumla ya Zahanati 1288. Zahanati hizi ni sawa na idadi ya siku alizokaa nje ya nchi Rais wetu(refer red above).
Pili,Kiasi hiki hizi zingetosha kuweka Zahanati kwenye zaidi ya 50% ya kila kata nchi nzima. Nchi yetu ina kata 2000 na kidogo. Ikumbukwe kuwa Tz wanawake wajawazito kati 24 hadi 36 kwa siku wanakufa kwa sababu kadhaa ikiwepo kutokuwepo kwa zahanati au ziko mbali.

NB Hata ukisema Rais amefanya kazi nje ya nchi kwa siku moja tu( kitu ambacho binafsi siamini na inapingana na uzoefu halisi wa JK), jumlisha na siku 2 za kwenda na kurudi, unapata jumla ya siku 3 kwa tripu mmoja ya nje. Ukizidisha kwa tripu za nje 322 utapata siku 966 ambazo ukizigawa kwa siku 365/366 utapata 2. 5 (yaani miaka 2 na nusu.)

Maswali ya ziada.

Watetezi wa safari hizi za JK watueleze faida ya safari hizo ukilinganisha na gharama tulizoingia. Je, hizo neti za Gorge Bush zinaendana na Gharama tuliyoingia?
Ikiwa Rais yuko nje ya nchi kwa safari mbali mbali kwa nusu ya muda wake wa kukaa ikulu, nani anakaa ikulu na kutafakari kuhusu utatuzi wa matatizo yetu?
Je, Rais kwanini asiwatume watu wengine ( PM, Makamo, nk kufanya baadhi ya safari nje ya nchi kwa niaba yake?
Je, Rais lazima aende na delegation kubwa ambayo inaongeza gharama za safari zake?
Je, tutakwenda kwa mwendo huu mpaka 2015 kwa amani kweli?
NB; Ikumbukwe safari hizi zinahusisha kwenda kutembelea wanamuziki maarufu wa USA - Boys 2 men na kubembea majuu.

Umefanya vizuri kuchanganua, lakini nikusahihishe kidogo tu,

1) Kutokana na takwimu nilizonazo Rais amesafiri safari 321 tu.

2) Gharama ulizoainisha, kwamjibu wa takwimu zangu na zilizo hapa JF ni za NAULI tu, yani tiketi za ndege iende irudi ni milioni 300 yeye na ujumbe wake wote.

Sasa gharama nyingine za matumizi zinahitaji umakini kwakuwa nyingi hazina viambata sahihi/risiti. Lakini kuweni na subira kila kitu kitapatikana nakuwekwa wazi!
 
...mwalimu nyerere alituambia huyo ni KIJANA,sisi tukapuuza kwa kudhani Nyerere was talking of age. Sasa ndo tunaelewa what was meant by Mwalimu,maana ashakuwa km yule Mreno Vasco da-Gama...yeye ni kuzungukazunguka duniani tu.
 
Heheee hizi safari kwa kweli ni nyingi sana, hata kama mtu si muongeaji hapa lazima mtu uongee!
Sijui matunda ya hizi safari ndio haya maisha au?
 
Back
Top Bottom