Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ulikuwepo vile?![]()
This is pilot jakaya kikwete we are now approaching to land dar es salaam...please tight your seat belt...we are 20000 ft above sea level.....iam glad to say that we had a lot of fun abroad from uk to botswana....
![]()
This is pilot jakaya kikwete we are now approaching to land dar es salaam...please tight your seat belt...we are 20000 ft above sea level.....iam glad to say that we had a lot of fun abroad from uk to botswana....
kweli haujui nana alaumiwe?Jana nimekuwa natafakari safari za kiongozi wetu wa nchi zilivyo nyingi. Kwa mtazamo wangu nadhani JK atakuwa amesafiri mara nyingi kuliko mkuu yoyote wa nchi duniani awaye madarakani. Nimejiuliza maswali mengi kama kweli waziri wa Fedha angekuwa makini JK angeweza kusafiri safari nyingi hivi? Ingawa waziri sio mtendaji wa wizara husika lakini kuna maamuzi mengine waziri lazima aingilie kati.
Nionavyo Waziri wa Fedha hayuko makini kusimamia vizuri matumizi ya Fedha za serikali. Najiaminisha kuwa kama kungekuwa na Waziri wa Fedha makini na aliyechaguliwa kwa merit yake mwenyewe angekuwa strict na kama ingebidi angekubali lawama ya kunyima watu safari kuliko fedheha.
Wana JF hili mnalionaje?
maswali gani sasa haya?
:rant:
kweli haujui nana alaumiwe?
Wakuu mi naomba nijulishwe hivi hii nchi ina dira (Vision) toka enzi za Nyerere? Maana itakuwa haina mana kumlaumu JK kwa nchi ambayo haijui ielekeako.