sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,540
- 9,473
Ya Namibia hamjaweka.
Naona wamechoka kuhesabu lol.. Yaani ametoka kwenye ziara mikoani ameunganisha Namibia.. Hachoki..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya Namibia hamjaweka.
nahisi kabla ya kumaliza hii ngwe ilyobaki huenda anataka kufika mpaka visiwa vya Tonga,Vanuatu,New papua Guinea,Somoa,Sumatra,Guyana,Fiji n.k.
Rais wetu inabidi ajifakirie mara mbili sasa kuhusu safari zake.Thats too much!
SAFARI YA 355
Tarehe 05/09/2013
Rais Jakaya Kikwete anawasili mjini
Kampala katika mkutano wa saba wa kimataifa wa nchi za maziwa makuu, unaofanyika Kampala, Uganda
Pamoja na mkutano huo, pia anapata fursa ya kukutana na hasimu wake Rais wa Rwanda Paul Kagame na kumaliza tofauti zao kinadharia.
Kuna rais mwingine dinian aliyevunja rekodi hii?
Kuna rais mwingine dinian aliyevunja rekodi hii?
Mheshimiwa wa magogoni alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!
Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005
UPDATES:
SAFARI YA 355
Tarehe 05/09/2013
Rais Jakaya Kikwete anawasili mjini
Kampala katika mkutano wa saba wa kimataifa wa nchi za maziwa makuu, unaofanyika Kampala, Uganda
Pamoja na mkutano huo, pia anapata fursa ya kukutana na hasimu wake Rais wa Rwanda Paul Kagame na kumaliza tofauti zao kinadharia
Kagonga ya 356 yuko Marekani na Canada ili kupewa PHD ya heshima!
Dah, kazi tunayo weli kweli!!!!!!Ni 356 na 357. Long live my president maana hakuna rais mwingine kokote ameweza kuifikia rekodi yako kwa miaka nane. Usisahau kutembeza bakuri la misaada huku home bado hospitali hazina dawa wakamue hao wazungu wamezidi kutunyonya