Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wajuzi watakuwekea mkuu , bila shaka uta update ili kuunganisha na hizi safari mpya 100 za juzijuzi .
Itakusaidia nini?
Hupaswi kujua kwa sababu wewe si Rais wako. Usubiri Rais wa UKAWA ndipo ufanye kazi ya kuhesabu safari zakeMkuu napenda kujua tu. Au mimi haipashwi kufahamu?
Hupaswi kujua kwa sababu wewe si Rais wako. Usubiri Rais wa UKAWA ndipo ufanye kazi ya kuhesabu safari zake
Huyu ni Rais wa Watanzania si Rais wa UKAWA. UKAWA hawatambui Tanzania. Wao wanatambua Tanganyika. So long JK ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wewe na UKAWA wenzako si Rais wenu. msubiri huyo Rais wa Tanganyika ndo umuulize maswali mengi ikiwa ni pamoja na kumhesabia safari zakeNashukuru kiongozi kwa kunifahamisha hilo la kuwa huyu rais aliyepo sio rais wangu.
Labda naomba ufafanuzi toka kwako je? Mimi si mtanzania?
Nilivyokuwa badhani kwamba huyu ni rais wa watanzania.
Itakusaidia nini?